hakuna anaesafishwa kinachotakiwa ni WATAJWE.wafikishwe mbele ya sheria.na kuhusu kujengwa shule za st. Ndugu yangu tunazichangia mpaka tunapata kichaa!hiyo siri ni ipi?pesa zinatoka mfukoni mwetu mpaka mtoto wa miezi huwa anapaswa kuchangia!Wewe ikubali habari hiyo. Mbona mnataka kuwasafisha? Mie najua maaskof wakiombwa wasisemwe wanakubaliwa b'se wao wanajiona wako juu ya sheria. Iko siku mambo yatakua hadharani. Ukiona shule za st zinajengwa ujue kuna siri kali. Haya teteeni wenye mbeleko ya kuwabeba waovu sisi yetu macho.