Viongozi 2 wa serikali kwenda kwenye mkutano wa BILDERBERG Ugiriki weekend hii

Ok, just-in news zasema Obama amependekeza pesa pungufu kwa ajili ya kupambana na janga la ukimwi..hii ikiwa ni kinyume cha ahadi yake ya kampeni kuwa atakuwa akiongeza funds kwa ajili ya mapambano ya HIV-AIDS for at least 1 billion a year.

Hii trimming of funds inaweza kuonekana kama insignificant figure kwa watu wasotaka kutumia muda kufanya tafakuri, but i tell you this is inline with the BILDERBERG GROUP policy kuhakikisha kuwa idadi ya watu duniani hasa wa race za akina sisi inashuka by 80%. Kalagabaho.
 
Sitoshangazwa na hilo kwa sababu mwaka jana(June) kulikuwa na uvumi kuwa Obama na Hillary Clinton waliattend mkutano wa hawa jamaa ulipofanyika Chantily, VA(vyombo vya habari vilisema wamekutana kwa siri).
 
Yep, ukiangalia hiyo documentary wameeleza ..its true na huyo aide wake alipoulizwa wapi Huseni akabaki anajiumauma..he was nowhere to be found kumbe alikuwa amejificha na hawa jamaa , yeye na Hillary wake..nways hapo ndipo tulipofikia..
 
Hey hey jamaani...i have just heard about this people hawa BILDERBERG...yaani i have heard from a an independent source about the Bilderberg...its true its the NWO.

Kuna documentary bootleg inafafanua kila kitu. I'm yet to see it...hivi karibuni i will watch it.

Hi issue inatuhusu sisi wote...NWO...its here to stay.
 
Nini hasa unachoongea? Am lost whats NWO na vipi inatuhusu wote? Kama inatuhusu mbona hutustui wenzako?
 
NWO-New world order.

these group of people rule the world. thats whats up...im also just finding this out...kuna reliable source that has told me this and then i remembered this post,

hii story ime tokezea kivyake...it came without asking halafu kuna ma publications na hiyo documentary i spoke about...

be very afraid ...aki tena
 
List ya walioattend huu mkutano, mpaka sasa sijaona hayo majina ya hao viongozi wa Tanzania wala kiongozi yoyote kutoka Afrika.

[ame="http://www.scribd.com/doc/15858100/Bilderberg2009"]Bilderberg2009@@AMEPARAM@@/docinfo/15858100?access_key=key-u8zoftodxdw4xepkl9q@@AMEPARAM@@15858100@@AMEPARAM@@key-u8zoftodxdw4xepkl9q[/ame]
 
Last edited:
NWO-New world order.

these group of people rule the world. thats whats up...im also just finding this out...kuna reliable source that has told me this and then i remembered this post,

hii story ime tokezea kivyake...it came without asking halafu kuna ma publications na hiyo documentary i spoke about...

be very afraid ...aki tena

Hiyo documentary ina mambo mengi yako overly cooked kwa nia ya kumwangusha Obama. In a way and to some great extent, it is a partisanship propaganda video.
 
Back
Top Bottom