Vingunguti: Murzah Oil wamwaga mafuta barabarani

Lind say

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
220
74
Barabara iendayo uwanja wa ndege kuanzia maeneo ya Vingunguti mpaka Jet gari la kampuni ya mafuta ya kula ya Murzah limemwaga mafuta barabarani.

Njia ina utelezi wa ajabu magari na pikipiki yanapinduka na hamna alama yoyote. Maaskari wa usalama barabarani wako kwenye junction ya Vingunguti lakini hawana msaada wowote kwa watumia barabara.

Kwa wanaoelekea maeneo ya uwanja wa ndege, Gongo la mboto na maeneo yote chukueni tahadhari na mtaarifu mwenzio.
 
Ubarikiwe ndugu. tungelikuwa na watu kama wewe wengi labda nchi ingelikuwa one step ahead.
 
Ahsantekamanda ingawa wengi wako mmu ungeweka pichazao ungeona visenkyu ama vilaiki vya kumwagaa..ubarikiwe
 
Barabara iendayo uwanja wa ndege kuanzia maeneo ya Vingunguti mpaka Jet gari la kampuni ya mafuta ya kula ya Murzah limemwaga mafuta barabarani.

Njia ina utelezi wa ajabu magari na pikipiki yanapinduka na hamna alama yoyote. Maaskari wa usalama barabarani wako kwenye junction ya Vingunguti lakini hawana msaada wowote kwa watumia barabara.

Kwa wanaoelekea maeneo ya uwanja wa ndege, Gongo la mboto na maeneo yote chukueni tahadhari na mtaarifu mwenzio.

Wakupe msaada gani?
 
Back
Top Bottom