Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

mkuu mimi pia ilikuwa ivyo nikashauriwa kununua antena yao na waya wao mweupe
Sasa inaonekana poa kabisa sio kama mwanzo
 
Mkuu tatizo ni viongozi wetu wamelala hawajali ubora. Ulaya vitu vya China ndo vimejaa lakini vyenye ubora wa hali ya juu. Nilinunua Sony digital Camera Ulaya ikiwa imetengenezwa China mahususi kwa soko la Ulaya na Marekani tu. Ndo hapo sasa ujiulize.

Kama ni hivyo, sufferings zote za watanzania ni viongozi /watawala/madikiteta wetu wanaoruhusu takataka kama hizo ziingie hapa.
 
Mkubali starehe garama ni vizuri unaponunua king'amuzi cha startime usiache kununua ile antena yao ni zaidi kuliko kutumia hizi antena zetu za sido. Zinakamata ila hazina mkadirio wa udakaji wa mawimbi. Ushauri wa kiufundi; wakati unaseti antena yako chukua limot yako nenda kwenye system seyteng, ipe "OK" vipengele vitakavyojitokeza nenda signal status upande wa kulia kutatokea mstari mi3 cheza na antena yako kwa kutumia mistari hiyo kuizungusha, kuiipandisha juu zaidi ama kuishusha mpaka ufikie viwango nitavoelekeza hapo mbele. Hakikisha mstari wa juu unapata %50 signal stregth. Huu mstari unakusaidi kujua ubora wa mawasiliano kuanzi waya wenyewe dacoder/Receiver. Kama kuna titizo conectin kati ya vitu hivi Mstari juu na kati haitaingia rangi kijani. Mstari wa kati signal Quality, huu ni mstari unaokuonyesha ubora wa upokeaji mawimbi, hakiki unapata kuanzia %70 na kuendelea. Mstari wa mwisho BER Huu ujitahidi rangi yote ya kijani ihame na unakuwa mweupe isome 1E-9 Nina uhakika picha utapa mzuri hakuna kukwama titizo la wengi ni la kiufundi mnatafutia signal kwenye picha ukipata chanel uliotegesha unajua zote zitashika kwa usahihi na hawa Startime costamer wao lazima mwenye uelewa hii kitu. Maana siku nimeenda kununu king'amuzi cha namuuli za kama kuna friquence za kuingaza kama receiver ya dish. Akanijibu mitambo yetu iko kisarawe. Si biasha ukikwama niemel nikusaidie ismaabby@gmail.com

najutia kielele cha kununu star times yaani ujingaujinga
 
nilisema kuwa hawa jamaa ni hovyo. Toka lini china akatengeneza kitu cha maana duniani! Hovyo kabisa. Tutaponea wapi mungu wangu!!!!!
ndugu china ni taifa kubwa linaloibuka usifikiri vifaa feki unavyonunua kariakoo ndio china .....hao ni wababaishaji wachache wa kichina wanaoshirikiana na wajinga wenzetu.......lalamikia star times na si china!
 
Ukiwa Member wa JF Tv si muhimu sana, taarifa zote kabla hazijatoka sisi tunazo hapa. bado sijasahau tulivyotapeliwa na GTV na Serikali haikuwahi kututetea turudishiwe pesa zetu.

Mimi king'amuzi kununuwa labda mwezi wa 3 ndio nitajuwa kampuni ipi ni ya ukweli, Tv yangu wacha ipumzike kwanza nianze kuangalia DVD zangu ambazo zimejaa ndani na sijaziangalia.

Mi nazani wewe unataka kuwahi kununua, nimepanga kununua mwezi Julai after full scan of all ving'amuzi kwa sababu vipo vingi njiani vinakuja
 
Mi nazani wewe unataka kuwahi kununua, nimepanga kununua mwezi Julai after full scan of all ving'amuzi kwa sababu vipo vingi njiani vinakuja
Kweli aisee maana nashangaa hawa walioliwa pesa zao sasa hivi hakuna hata mmoja anayepata hata Channel moja inayoonesha mashindano ya AFCON, wote wanaenda kwenye mabar kuangalia mpira.
 
Back
Top Bottom