Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

kuna mtu humu anadai ali ambiwa "geuzia kisarawe" na startimes customer care.
Sikumbuki kama ni antena au king'amuzi ndo ali ambiwa ageuze
So wewe geuzia vyote kisarawe itashika tu
 
Changu nimeweka sebuleni kama pambo angalau kujaza sehemu za shelf zilizowazi. Hichi kitu hakifui dafu hata kwa decoder mediacom 930 ya dish.
 
Kha ha ha ha ha ha ha haaaaa! Hakianani sijacheka muda mwingi humu jamvini,duh! Ina maana hivyo ving'amuzi havishiki chanel yoyote? Kheri tu sijaenda kutupa shiling yangu! Poleni wote wale wanaopatwa na dhoruba hiyo na kama vipi wale wote walioko nje ya A town waviangalizie kanda hii!

kuna mtu humu anadai ali ambiwa "geuzia kisarawe" na startimes customer care.
Sikumbuki kama ni antena au king'amuzi ndo ali ambiwa ageuze
So wewe geuzia vyote kisarawe itashika tu
 
Mimi siku hizi nimeachana na mambo ya TV ni kuangalia Movie kwa kwenda mbele!

Kha ha ha ha ha ha ha haaaaa! Hakianani sijacheka muda mwingi humu jamvini,duh! Ina maana hivyo ving'amuzi havishiki chanel yoyote? Kheri tu sijaenda kutupa shiling yangu! Poleni wote wale wanaopatwa na dhoruba hiyo na kama vipi wale wote walioko nje ya A town waviangalizie kanda hii!
Ukiwa Member wa JF Tv si muhimu sana, taarifa zote kabla hazijatoka sisi tunazo hapa. bado sijasahau tulivyotapeliwa na GTV na Serikali haikuwahi kututetea turudishiwe pesa zetu.

Mimi king'amuzi kununuwa labda mwezi wa 3 ndio nitajuwa kampuni ipi ni ya ukweli, Tv yangu wacha ipumzike kwanza nianze kuangalia DVD zangu ambazo zimejaa ndani na sijaziangalia.
 
yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.

............. Nchi hii Tanania ni nchi ya kutupiwa matamataka kutoka sehemu mbalimbali za dunia.. hebu angalia mitumba ya mascania yanavyofia barabarani na kusababisha foleni... ATM za benk hali kadhalika ni mbovu hazifai.. nchi hii hakuna viwango vinavyosimamiwa kuingizwa kwa matumizi ya Wa Tanzania ..... serikali hii ni sikivu hata mimi nakubali
 
Siku zote naona watu wanalalamika humu jukwaani lakini mimi
sijawahi kuona tatizo lolote la king'amuzi hiki nakitumia kizuri sana
naburudika sana, nilinunua cha kwanza mwaka juzi nimempa shangazi
na kinafanya kazi vizuri, mwaka jana mwishoni nimenunua hiki cha 39,000
nacho kimetulia sana yaani safi sana. Kama muna mipango ya hujuma
za kibiashara hebu wekeni wazi wakuu.
 
kama unafanya kaz huko, give us a break, yaani tumetupa hela yetu, huduma mbovu. Ngoja hiyo digtake ije nami nahama.
 
Mkubali starehe garama ni vizuri unaponunua king'amuzi cha startime usiache kununua ile antena yao ni zaidi kuliko kutumia hizi antena zetu za sido. Zinakamata ila hazina mkadirio wa udakaji wa mawimbi. Ushauri wa kiufundi; wakati unaseti antena yako chukua limot yako nenda kwenye system seyteng, ipe "OK" vipengele vitakavyojitokeza nenda signal status upande wa kulia kutatokea mstari mi3 cheza na antena yako kwa kutumia mistari hiyo kuizungusha, kuiipandisha juu zaidi ama kuishusha mpaka ufikie viwango nitavoelekeza hapo mbele. Hakikisha mstari wa juu unapata %50 signal stregth. Huu mstari unakusaidi kujua ubora wa mawasiliano kuanzi waya wenyewe dacoder/Receiver. Kama kuna titizo conectin kati ya vitu hivi Mstari juu na kati haitaingia rangi kijani. Mstari wa kati signal Quality, huu ni mstari unaokuonyesha ubora wa upokeaji mawimbi, hakiki unapata kuanzia %70 na kuendelea. Mstari wa mwisho BER Huu ujitahidi rangi yote ya kijani ihame na unakuwa mweupe isome 1E-9 Nina uhakika picha utapa mzuri hakuna kukwama titizo la wengi ni la kiufundi mnatafutia signal kwenye picha ukipata chanel uliotegesha unajua zote zitashika kwa usahihi na hawa Startime costamer wao lazima mwenye uelewa hii kitu. Maana siku nimeenda kununu king'amuzi cha namuuli za kama kuna friquence za kuingaza kama receiver ya dish. Akanijibu mitambo yetu iko kisarawe. Si biasha ukikwama niemel nikusaidie ismaabby@gmail.com
 
Mkubali starehe garama ni vizuri unaponunua king'amuzi cha startime usiache kununua ile antena yao ni zaidi kuliko kutumia hizi antena zetu za sido. Zinakamata ila hazina mkadirio wa udakaji wa mawimbi. Ushauri wa kiufundi; wakati unaseti antena yako chukua limot yako nenda kwenye system seyteng, ipe "OK" vipengele vitakavyojitokeza nenda signal status upande wa kulia kutatokea mstari mi3 cheza na antena yako kwa kutumia mistari hiyo kuizungusha, kuiipandisha juu zaidi ama kuishusha mpaka ufikie viwango nitavoelekeza hapo mbele. Hakikisha mstari wa juu unapata %50 signal stregth. Huu mstari unakusaidi kujua ubora wa mawasiliano kuanzi waya wenyewe dacoder/Receiver. Kama kuna titizo conectin kati ya vitu hivi Mstari juu na kati haitaingia rangi kijani. Mstari wa kati signal Quality, huu ni mstari unaokuonyesha ubora wa upokeaji mawimbi, hakiki unapata kuanzia %70 na kuendelea. Mstari wa mwisho BER Huu ujitahidi rangi yote ya kijani ihame na unakuwa mweupe isome 1E-9 Nina uhakika picha utapa mzuri hakuna kukwama titizo la wengi ni la kiufundi mnatafutia signal kwenye picha ukipata chanel uliotegesha unajua zote zitashika kwa usahihi na hawa Startime costamer wao lazima mwenye uelewa hii kitu. Maana siku nimeenda kununu king'amuzi cha namuuli za kama kuna friquence za kuingaza kama receiver ya dish. Akanijibu mitambo yetu iko kisarawe. Si biasha ukikwama niemel nikusaidie ismaabby@gmail.comnashukuru kwa ushauri wako mimi nimenunua antena ya startimes lakini bado ilikua inanasa nimejaribu ushauri wako nimeona signal quality napata chini ya 70%kwa maana hiyo sehemu niliyokuwepo inahitaji niongeze urefu wa mlingoti
 
acha promo.mlishachemka na machanel yenu ya fta mnauzia wananchi.
 
Back
Top Bottom