- Thread starter
- #21
Hao Vataloco watakuwa wanatafuta huruma ya Clouds FM kupigwa nyimbo zao
Kabisa kabisa, i think ndo lengo lao aaisee
Hao Vataloco watakuwa wanatafuta huruma ya Clouds FM kupigwa nyimbo zao
KALAPINA hawezi kuwaunga mkono vinega kwa sababu Kundi la VIRAKA(KIRAKA) lipo vinega. na VIRAKA walimeguka kwenye Kundi la KIKOSI CHA MIZINGA ambacho kinaongozwa na kalapina. RADO na COIN ndo wanaunda kundi la viraka na wapo vinega. Kalapina alikuwa anawafukuza viraka wasikae pale kwenye matairi ya BLOCK 41 Kisa si wazawa wa kino/dar es salaam. kalapina mbaguzi ndo maana joh. makini alimchana "wanaficha sura zao ili nisione machozi" "nawapigia nyumbani nawapiga ugenini" "mr.ebbo toka tanga.......n.k. Mia
Hapo umenena....! Halafu hasira za majamaa ziluanzia mbali(vatoloco)... Pale bou nako alivyoapishwa kwa stage kuwa officially kinega... Hiyo ki2 nadhani iliwauma sana...!Hao Vataloco watakuwa wanatafuta huruma ya Clouds FM kupigwa nyimbo zao
tatizo hao vatoloco hawajui dhamira na shabaha ya vinega, au wanajua ila wanatumiwa na hao jamaa wa mawingu fm kudhoofisha harakati za vinega kupinga unyoonyaji kwenye sanaa hiyo ya muziki!
haya macharasi wanayobwia kina fido na da hustlers yanawapa wenge, kwanza ifahamike vatoloko ni new schools (kasoro ibra), fido alikua ni nyoka wa lord eyes na kazi yao kubwa ni kuwaibia watu kwenye majumba ya starehe arusha mjini, hawa ni wahuni tu hawawezi kuwa na beef na vinega na hili wanalolifanya ni kwa nia ya kutafuta air time wafu fm.

Oya chalii zangu wa vatoloco huku rock city kuna soko la bange km vp leteni mzigo!
Hao votoloto sijui ndio nani?
machoko 2 hao nadhan pia hyo imewaumaHapo umenena....! Halafu hasira za majamaa ziluanzia mbali(vatoloco)... Pale bou nako alivyoapishwa kwa stage kuwa officially kinega... Hiyo ki2 nadhani iliwauma sana...!
Hivi FidQ na yy ni Kinega?
Halafu kitu kingine ni kny uzinduz wao wa dsm haawajapandisha underground hata mmoja.. Yaan show nzima wamepiga wao.. Kibongobongo hatuend hvo aisee..
Show ipi unazungumzia? Kama ni ile ya vinega Walipanda akina D-wa Ghetto,peen lawyer etc nadhani ulikuwa huwajui kabla.tAlk with evidence
Vitoloko ndio wanatafuta beef na Vinega,na bado hadi sasa haijaeleweka wana nia gani...unajua tena masela wa chuga!!