VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers}

KALAPINA hawezi kuwaunga mkono vinega kwa sababu Kundi la VIRAKA(KIRAKA) lipo vinega. na VIRAKA walimeguka kwenye Kundi la KIKOSI CHA MIZINGA ambacho kinaongozwa na kalapina. RADO na COIN ndo wanaunda kundi la viraka na wapo vinega. Kalapina alikuwa anawafukuza viraka wasikae pale kwenye matairi ya BLOCK 41 Kisa si wazawa wa kino/dar es salaam. kalapina mbaguzi ndo maana joh. makini alimchana "wanaficha sura zao ili nisione machozi" "nawapigia nyumbani nawapiga ugenini" "mr.ebbo toka tanga.......n.k. Mia

Kalapina nae popo tu We utatangazaje vita na iman za watu!!!
 
nashangaa Ibra na watu wake eti atake bifu na hawa watu,,, bcoz keshapoteza ramani labda anataka kutoka, what he knows best ni kula ganja na powder to the fullest,,,,,

kuna kipindi walimchokoza Jo Makini akawachukulia poa akawaona wajinga,,,,
 
ila vinega nao kuna track wamemtukana Dj. Choka vibaya.. Wametumia beat ya new york, acha ile liyo kny albam
 
haya macharasi wanayobwia kina fido na da hustlers yanawapa wenge, kwanza ifahamike vatoloko ni new schools (kasoro ibra), fido alikua ni nyoka wa lord eyes na kazi yao kubwa ni kuwaibia watu kwenye majumba ya starehe arusha mjini, hawa ni wahuni tu hawawezi kuwa na beef na vinega na hili wanalolifanya ni kwa nia ya kutafuta air time wafu fm.
 
tatizo hao vatoloco hawajui dhamira na shabaha ya vinega, au wanajua ila wanatumiwa na hao jamaa wa mawingu fm kudhoofisha harakati za vinega kupinga unyoonyaji kwenye sanaa hiyo ya muziki!

yes man hao machoko wa arachuga wanatumiwa na wafu fm wanadhani watatudhoofisha vinega kumbe watatutangaza zaid....viva vinega...aluta continua....to hell vatoloco
 
haya macharasi wanayobwia kina fido na da hustlers yanawapa wenge, kwanza ifahamike vatoloko ni new schools (kasoro ibra), fido alikua ni nyoka wa lord eyes na kazi yao kubwa ni kuwaibia watu kwenye majumba ya starehe arusha mjini, hawa ni wahuni tu hawawezi kuwa na beef na vinega na hili wanalolifanya ni kwa nia ya kutafuta air time wafu fm.

Track ya vinega diss kwa choka umeickia lakini???
 
haya macharasi wanayobwia kina fido na da hustlers yanawapa wenge, kwanza ifahamike vatoloko ni new schools (kasoro ibra), fido alikua ni nyoka wa lord eyes na kazi yao kubwa ni kuwaibia watu kwenye majumba ya starehe arusha mjini, hawa ni wahuni tu hawawezi kuwa na beef na vinega na hili wanalolifanya ni kwa nia ya kutafuta air time wafu fm.

mia mchambuzi na ndo maana ibra aliwakana hao machoko kina fido though wanatoka crew moja...fido anaendelea kudiss vinega kwa fb but watu wanamchana sana yeye mwenyewe na wnamuona ni snitch tu
 
Oya chalii zangu wa vatoloco huku rock city kuna soko la bange km vp leteni mzigo!
 
Hivi FidQ na yy ni Kinega?

THUBUTU!!!!! Yule mwana radio ya wafu tu yule... Brother men sana yule jamaa... Kuna fiesta moja ya mwanza hakutokea{miaka kama mitatu hv iliyopita) clouds walimchukia sanaa wakaacha kugonga track zake on air.. Mbona mwenyewe aliomba msamahaa tu kama choko kalapina
 
Halafu kitu kingine ni kny uzinduz wao wa dsm haawajapandisha underground hata mmoja.. Yaan show nzima wamepiga wao.. Kibongobongo hatuend hvo aisee..

Show ipi unazungumzia? Kama ni ile ya vinega Walipanda akina D-wa Ghetto,peen lawyer etc nadhani ulikuwa huwajui kabla.tAlk with evidence
 
Show ipi unazungumzia? Kama ni ile ya vinega Walipanda akina D-wa Ghetto,peen lawyer etc nadhani ulikuwa huwajui kabla.tAlk with evidence

hao wote ulowasema pamoja naa Isanga family wameshiriki toka kny recording, im talking about free undergroung artist
 
Back
Top Bottom