Vincent Nyerere: Sijaona mkataba kati ya ukoo wangu na CCM

Kweli wewe ni mkomavu mkuu hapa JF na mwenye kuhitajika kuigwa kwa ujasiri huu ulioonyesha dakika chache zilizopita kwenye uzi huu. Bip up sana mkuu!!!!!

Kweli mkuu huyu ni mtoto wa marehemu Joha Ali Nyabange ambaye aliolewa na Kiboko Nyerere. Hivyo naomba kufuta usemi wanajanvi.
 
waende huko chadema. hawana msaada wowote. waTz si wale wa zamani waliokuwa wakiabudu nyerere. hiki ni kizazi cha dot com. So we do not care.
 
Vipi binti ya nyerere awe na jina la Nyerere? Sipo huko!!! Vicent is the Man!!!! I know!!!
 
enye msafara wa mamba na kenge wamo, kwa sasa CDM inafanya vizuri sana kila pembe, ila tahadhari ni kuwa waendelee na mipango yao kisayansi na jinsi ya kutatua kero za wa Tz, kwa uelewa ambao CDM imejenga kwenye jamii, hata yenyewe ikichukua madaraka na ikavuruga, wananchi hawahawa wataiadhibu. Kuwa CDM isije ikawa kama ni chama cha malaika, ni vema kuendelea kwa tahadhari kubwa sana, kwa sasa maadui ni wengi watakaoiombea mabaya CDM.
 
enye msafara wa mamba na kenge wamo, kwa sasa CDM inafanya vizuri sana kila pembe, ila tahadhari ni kuwa waendelee na mipango yao kisayansi na jinsi ya kutatua kero za wa Tz, kwa uelewa ambao CDM uimejenga kwenye jamii, hata yenyewe ikichukua madaraka na ikavuruga, wananchi hawahawa wataiadhibu. Kuwa CDM isije ikawa kama ni chama cha malaika, ni vema kuendelea kwa tahadhari kubwa sana, kwa sasa maadui ni wengi watakaoiombea mabaya CDM.
Umenena vyema kamanda
 
Back
Top Bottom