Vincent Nyerere: Sijaona mkataba kati ya ukoo wangu na CCM

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF leo asb ITV katika kipindi cha Kumekucha,katika mahojiano ya Mbunge wa Musoma Mjini na watangazaji wa ITV,eti kwani yeye ni mtoto wa mdogo wake na baba wa TAIFA na Muasisi wa CCM kwa nini yupo CHADEMA
Duh amewajibu kuwa hajaona mkataba kati ya ukoo wa Nyerere na CCM kwa hiyo hata CHADEMA ni chama cha Watanzania kama CCM
Ila Dogo yupo fit kwenye mahojiani na waandishi
Sjui nani ana Mapungufu kwenye mashine za CHADEMA(wabunge)
 
Hata Mwalimu Nyerere mwenyewe aliwahi sema kuwa CCM si mama yake na anaweza rudisha kadi siku yeyote.
 
Mmhh waandishi wetu wa habari bwana, hilo lilikuwa swali serious au yale maswali ya utani??
 
Wana JF leo asb ITV katika kipindi cha Kumekucha,katika mahojiano ya Mbunge wa Musoma Mjini na watangazaji wa ITV,eti kwani yeye ni mtoto wa mdogo wake na baba wa TAIFA na Muasisi wa CCM kwa nini yupo CHADEMA
Duh amewajibu kuwa hajaona mkataba kati ya ukoo wa Nyerere na CCM kwa hiyo hata CHADEMA ni chama cha Watanzania kama CCM
Ila Dogo yupo fit kwenye mahojiani na waandishi
Sjui nani ana Mapungufu kwenye mashine za CHADEMA(wabunge)
kiukweli ukiacha ushabiki na siasa za kuchumia tumbo CCM ilishapoteza muelekeo japo hataki kukiri hivyo!
 
Wana JF leo asb ITV katika kipindi cha Kumekucha,katika mahojiano ya Mbunge wa Musoma Mjini na watangazaji wa ITV,eti kwani yeye ni mtoto wa mdogo wake na baba wa TAIFA na Muasisi wa CCM kwa nini yupo CHADEMA
Duh amewajibu kuwa hajaona mkataba kati ya ukoo wa Nyerere na CCM kwa hiyo hata CHADEMA ni chama cha Watanzania kama CCM
Ila Dogo yupo fit kwenye mahojiani na waandishi
Sjui nani ana Mapungufu kwenye mashine za CHADEMA(wabunge)

Sahihisho! Sio mtoto wa mdogo wake Nyerere (Kiboko) ila ni mjukuu wa mdogo wake Nyerere. Yaani mdogo wa Nyerere kwa jina KIBOKO alizaa binti na binti akamzaa Vincent na wengine.
 
huyu ni kati ya wabunge wazuri kwa kujenga hoja

Si mzuri katika kujenga hoja kwa maana ya utatuzi ila ni mzuri kwa kukubali matatizo yapo but no solution. Ukifatilia mahojiano yote alikuwa anabase kufafanua uwepo wa matatizo lakini way forward kwa maana ya utatuzi hakuweza kujibu vizuri.

Kulingana na ukomo wa uwezo wake nampa pongezi kuwa at least kajitahidi na mkweli.
 
Mie nakataa,naona jamaa anajua kujenga hoja na utatuzi,nlipomsikiliza kaeleza vizuri jinsi ya kufanya sera ya kilimo kwanza ifanye kazi(alitoa solution)..na pia kuhusu matatizo ya vifaa vya elimu kaelezea juhudi anazofanya kupata vitu kama maabara zenye ubora, majengo ya walimu, majengo ya shule , computers e.tc
 
Sahihisho! Sio mtoto wa mdogo wake Nyerere (Kiboko) ila ni mjukuu wa mdogo wake Nyerere. Yaani mdogo wa Nyerere kwa jina KIBOKO alizaa binti na binti akamzaa Vincent na wengine.

Ok. just curious, kwahiyo ukoo wa Nyerere ni upande wa kikeni, mbona hatumii jina la ukoo wa baba yake? au ndo taratibu za huko?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Makongoro Nyerere mtoto aliyekulia Ikulu mtoto wa Mwl nyerere alikuwa miongoni mwa wanachama waanzilishi wa NCCR Mageuzi hata kabla baba yake( J.K. Nyerere Burito) hajafariki. Kamuulize madaraka Nyerere ni mwanachama wa Chama gani? CCM sio chama cha Nyerere Julius, ni chama cha wanachama .
 
Back
Top Bottom