Vincent Nyerere ateuliwe mkurugenzi wa kampeni na oparation CHADEMA

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Imefika sasa CHADEMA itambue hazina ya wabunge waliokuwa nao..,na kutumia hazina hiyo kwenye kukipa nguvu chama hasa kwenye safu ya uongozi..,nimefurahishwa sana Juhudi za Mbunge wa Musoma Mjini..,VINCENT NYERERE kwa kufanya kazi kubwa kama meneja wa Kampeni na kukiwezesha chama na kuibuka na ushindi arumeru Mashariki na pia kumpa mbinu mbali mbali na technics Joshua Nassari (mbunge mteule) katika Kampeni..,ukizingatia CCM walitumia nguvu ya Pesa,Rushwa,Matutsi na vile vile Uchawi ili kupata hilo jimbo la Ubunge...! lakini wananchi waliamua kula CCM na kuipa kura Chadema..!ningependa kutoa 2 hayo maoni yangu
 
Ni mapema sana kuzungumzia vyeo saizi, ngoja tusherehekee kwanza na kupeana pongezi. Vince was a mastermind na CDM itumie uzoefu wake kwa chaguzi zingine but sidhani kama ndio cheo kitafutwe kwa ajili yake. Vyeo ndio chanzo cha migawanyiko katika vyama. Kuna makamanda kibao wamepigana kuga na kupona Arumeru so watataka nao kupewa ka cheo fulani kama mwenzao Nyerere na wakinyimwa wataanza kulialia kama Tuntemeke, tii na paa
 
Imefika sasa CHADEMA itambue hazina ya wabunge waliokuwa nao..,na kutumia hazina hiyo kwenye kukipa nguvu chama hasa kwenye safu ya uongozi..,nimefurahishwa sana Juhudi za Mbunge wa Musoma Mjini..,VINCENT NYERERE kwa kufanya kazi kubwa kama meneja wa Kampeni na kukiwezesha chama na kuibuka na ushindi arumeru Mashariki na pia kumpa mbinu mbali mbali na technics Joshua Nassari (mbunge mteule) katika Kampeni..,ukizingatia CCM walitumia nguvu ya Pesa,Rushwa,Matutsi na vile vile Uchawi ili kupata hilo jimbo la Ubunge...! lakini wananchi waliamua kula CCM na kuipa kura Chadema..!ningependa kutoa 2 hayo maoni yangu

Mkuu hilo limekaa njema yule Nyerere anastaili kwani aliweza kupambana na watu wenyesifa kubwa na uwezo mkubwa

na watu wenye majina makubwa katika nchi na wakabwagwa vilevile.hakika Vincent anastahili.
 
Imefika sasa CHADEMA itambue hazina ya wabunge waliokuwa nao..,na kutumia hazina hiyo kwenye kukipa nguvu chama hasa kwenye safu ya uongozi..,nimefurahishwa sana Juhudi za Mbunge wa Musoma Mjini..,VINCENT NYERERE kwa kufanya kazi kubwa kama meneja wa Kampeni na kukiwezesha chama na kuibuka na ushindi arumeru Mashariki na pia kumpa mbinu mbali mbali na technics Joshua Nassari (mbunge mteule) katika Kampeni..,ukizingatia CCM walitumia nguvu ya Pesa,Rushwa,Matutsi na vile vile Uchawi ili kupata hilo jimbo la Ubunge...! lakini wananchi waliamua kula CCM na kuipa kura Chadema..!ningependa kutoa 2 hayo maoni yangu

Hongera kwa Mhe Nyerere na Mchungaji Msigwa kwa umakini wao. Hata hivyo, ushindi wa Arumeru na kwingineko ni matokeo ya kuwa timu nzuri yenye kufanya kazi kimkakati na bila kuchoka.
 
No comment labda tumuulize Mkapa "eti Mr Clean Huyu Kiboko wako tumpe cheo gani ili kila ukimsikia masikio yako yatoe moshi!" lol am kidin!!
 
Vincent Kiboko Nyerere ni balaa mpaka leo Mkapa haamini jinsi kijana mdogo kama huyo ameweza kumuumbua kiasi kile.Vincent Nyerere ndo alikuwa mbunge wa kwanza kutangazwa kuwa mshindi kwenye uchaguzi wa 2010 Tanzania nzima.Siasa anaijua sana na huwa habahatishi akiamua kufanya kiti.Hongera sana Vincent Kiboko Nyerere.
 
Hatuhitaji Vyeo chama makini wote ni viongozi thats why wanaitwa Makanda.HONGERA TIMU NZIMA YACHADEMA ,HONGERA WAPIGA KURA WA ARUMERU MASHARIKI,HONGERA WANACHAMA WA CDM NA HATA WASIOWANACHAMA BALI WENYE MAPENZI NA UCHUNGU WA NCHII GOD WILL BE WITH U.
 
Hongera CHADEMA Hongera Joshua hongereni timu nzima ya Chadema tuzidi kushikamana kuhakikisha mwaka 2015 majimbo zaidi ya 200 yawe mikononi mwa Chadema
 
Inategemea sehemu na sehemu. Kuna maeneo mengine anaweza kuwa more effective.
 
No comment labda tumuulize Mkapa "eti Mr Clean Huyu Kiboko wako tumpe cheo gani ili kila ukimsikia masikio yako yatoe moshi!" lol am kidin!!
teh teh teh teh jamani mbafu sangu 2 simevunjika teh teh teh eti akimskia masikio yautoe moshi! Kwi kwi kwi
 
Vicent ni kiboko wa yote Mr. Clean yupo hoi nyanganyanga, kajihaibisha mzee loo, Lowasa naye hali mbaya Mchungaji wake wa Nigeria atamsaliti muda si mrefu. Wasira nae usingizi juu nasikia mpaka leo hajaamka. Ahhhhhhhh ka politiks noooma. Nape kapatana na Lowasa ili wapande jukwaani pamoja mwemwemwe.........................
 
Imefika sasa CHADEMA itambue hazina ya wabunge waliokuwa nao..,na kutumia hazina hiyo kwenye kukipa nguvu chama hasa kwenye safu ya uongozi..,nimefurahishwa sana Juhudi za Mbunge wa Musoma Mjini..,VINCENT NYERERE kwa kufanya kazi kubwa kama meneja wa Kampeni na kukiwezesha chama na kuibuka na ushindi arumeru Mashariki na pia kumpa mbinu mbali mbali na technics Joshua Nassari (mbunge mteule) katika Kampeni..,ukizingatia CCM walitumia nguvu ya Pesa,Rushwa,Matutsi na vile vile Uchawi ili kupata hilo jimbo la Ubunge...! lakini wananchi waliamua kula CCM na kuipa kura Chadema..!ningependa kutoa 2 hayo maoni yangu

Pongezi pia ziende kwa kamanda wa kampeni hizo John Mrema, Vicent amefanya kazi nzuri jukwaani lakini mikakati yote na utekelezaji wake ni John Mrema ambaye hapa alizusishiwa mengi ili kukatishwa tamaa lakini hatimaye kwa kushirikiana na viongozi wenzake wamefanikisha ushindi
 
idara za chadema zimekamilika, na hata hao ambao si viongozi wa idara wamekamilika, hivyo cdm inaweza kumtumia kada yoyote kuwasha moto na ukawaka bila kujali ana cheo gani ndani ya chama, hiki ni chama cha watu makini na wenye uelewa wa hali ya juu sana, huwezi kulinganisha na chama kingine chochote, Wananchi wa ARUMERU BIG UP, na wengine tuige mfano ya watu wenye dhamira ya dhati kujikomboa, Peoples..., Pawaaaaaa
 
Back
Top Bottom