Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Sasa Vicent naye ajipange upya jinsi gani atakuja kutoka,
Keil,
Hizi habari zimenipita sana mwenzio kushoto. Nafikiri kwa sababu ya kukaa sana Sikonge tangu nilipomaliza JKT. Mengi yanayotokea Dar kwa kweli ni kusoma hapa JF, kwenye mitandao au nikiongea na Mtanzania.
Hii habari sijawahi kuisikia kabisa na kwa kweli imenishangaza mno. Nakumbuka kuangalia mazishi ya Nyerere kwenye BBC na CNN na kumuona hadi Mama Madeleine K. Albright akija Tanzania. Sikutegemea kuwa Mkapa atakuwa mkatili namna hiyo na mtu aliyeweka pesa mbele hadi kumtanguliza Mwalimu wake na mtu aliyemuweka madarakani.
Nakubaliana na wewe kuwa Dr. Slaa au Mbowe au Zitto, wampige STOP huyu V. Nyerere na hii habari asiiongelee tena. Kama sumu kashatema na mengine acha yaanze kushuka kwa gravitation force.
Ngoja nilale na asubuhi ntaamkia hapa kuifuatilia zaidi kama haitafutwa.
[Lali/dilagi mpola kwenuko ]
yeah nakumbukaVicent nyerere ndiyo amepoteza ubunge au ndiyo aliwakasirisha wakubwa?
nakumbuka Kuna kipindi ulitokea ubishi mke wa Arafat alidai mossad walimuua Arafat kwa sumu ikabidi kaburi la Arafat lifukuliwe kuona kama Kuna chembechembe za sumu ktk mwili
Zile 230ml nasikia zimeisha... babu mtei msaidie huyu njaa
Sasa Vicent naye ajipange upya jinsi gani atakuja kutoka,
watanzania kusema ukweli sisi in wasitaimilivu waoga but hali hii itatikosti
You seem too selfish Pascal Mayalla, unataka thread zako ulizoanzisha kuhusu Mkapa tu ndizo zifufuliwe za wengine hapana.Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Acha watu wayafukue.Naona Leo humu makaburi yanafukuliwa tu .
All in all
R.I.P mzee mkapa
Hatari sanaKeil homeboy nakuona hapa, wayasikia haya lakini?
Hii habari ni mbaya sana sana kwa Mkapa na CCM kwa ujumla.
Sijui atajiosha vipi huyu Mzee? Kweli hukumu ni hapahapa duniani. Kumbe CCM wamemuuwa Baba wa Taifa?
Kila goti litapigwa mbele zanguWana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.
Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere
Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.
Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...
Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums
Huwezi kushindana na dolaNyerere huyuhuyu alivyokuwa mtata ndo wakulazimishwa kwenda London tena na Mkapa! 😁😁