aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,220
katika organs imebaki inatanni JWTZ. Leo hii niko radhi jeshi lichukue nchi kuliko kuongozwa na wendawazimu na watu wasio na busara.
Kama ungekua umelala ningesema umeota ndoto ya kutisha
tulipokua wadogo ndo tulikuwa tunadanganyana...Habarini wana JF, kuna tetesi kuwa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) limekua miongoni mwa Majeshi Bora 30 Duniani, Kuna mwenye uthibitisho katika hili!!! na kama ni 30 kwa Afrika ama Dunia mzima Pia Msaada tafadhali ni vizuri taarifa nzuri kama hizi tukiwa tunazijua kwani ni sehemu ya sisi kujivunia kama Watanzania #tupendevyanyumbani
Kwani we mtz? ThibitishaSource ya hiyo habari kuwa sisi ni wa 30........!!!!
Me mtanganyika.Kwani we mtz? Thibitisha
Eti duniani....!! Watu nadhani wanajifurahisha tu.Kwa afrika sawa, lakini duniani hell noooo
Hapo Afrika hamna nchi hata moja.