Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

katika organs imebaki inatanni JWTZ. Leo hii niko radhi jeshi lichukue nchi kuliko kuongozwa na wendawazimu na watu wasio na busara.
 
Habarini wana JF, kuna tetesi kuwa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) limekua miongoni mwa Majeshi Bora 30 Duniani, Kuna mwenye uthibitisho katika hili!!! na kama ni 30 kwa Afrika ama Dunia mzima Pia Msaada tafadhali ni vizuri taarifa nzuri kama hizi tukiwa tunazijua kwani ni sehemu ya sisi kujivunia kama Watanzania #tupendevyanyumbani
 
tulipokua wadogo ndo tulikuwa tunadanganyana...

30 bora hatuna hata meli moja ya kivita
 
Labda wa mwisho nitaamini, nguo tu na boot tunaagiza nje pamoja na kwamba tunalima pamba na tuna ng'ombe wengi
 
Back
Top Bottom