Vikesi dhidi ya CEO wa Yanga na siasa za kuviziana

canfi

JF-Expert Member
Jun 26, 2022
1,240
1,279
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable.

Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na ktk hilo hatujasikia taarifa ya kesi yoyote ambayo huyo bwana alikutwa na hatia. Hana hatia.

Pia, tukumbuke kuna watu waliwahi kufungwa jela kwa vituhuma kama hivyo lkn wakaja kuwa viongozi wa klabu kubwa na wakapata hadi ubunge.

Tuelewe vizuri ma tusikurupuke
 
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable. Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na ktk hilo hatujasikia taarifa ya kesi yoyote ambayo huyo bwana alikutwa na hatia. Hana hatia.

C.E.O wa Yanga ni nani kati ya hawa? GENTAMYCINE au ni yule OKW BOBAN SUNZU ? Maana wote wana tusifa na tuvigezo
 
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable. Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na ktk hilo hatujasikia taarifa ya kesi yoyote ambayo huyo bwana alikutwa na hatia. Hana hatia.

Pia, tukumbuke kuna watu waliwahi kufungwa jela kwa vituhuma kama hivyo lkn wakaja kuwa viongozi wa klabu kubwa na wakapata hadi ubunge.

Tuelewe vizuri ma tusikurupuke
Hawa watoto wa juzi wataelewaje hayo
 
Ni mwizi na ushahidi upo.kha!
Thibitisha. Mahakama ilishamsafisha
20220927_141348.jpg
 
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable.

Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na ktk hilo hatujasikia taarifa ya kesi yoyote ambayo huyo bwana alikutwa na hatia. Hana hatia.

Pia, tukumbuke kuna watu waliwahi kufungwa jela kwa vituhuma kama hivyo lkn wakaja kuwa viongozi wa klabu kubwa na wakapata hadi ubunge.

Tuelewe vizuri ma tusikurupuke
Kutuhumiwa pekee tena zaidi ya maramoja tayari ni tatizo
 
Back
Top Bottom