Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

Daaah faza na maza hawataki kunielewa kuhusu jkt. Wanataka niende by any means.
Alafu nikiona haya mapicha picha ndy naishiwa nguvu.
Faza ana hela zangu nyingi tu ambazo naweza hama kwake na kuanza yangu. But kugusia hilo swala na kumwambia siendi jkt naskia kapanic huko aliko mpaka macho yamemuiva. Na kuwaambia ndugu wengine yaliyotokea hivyo hapa napiwa simu za ndugu kunisihi.
Nimevurugwa
Kwan umeshachaguliwa tyar
 
Vilio vyatawala kwenye makambi ya JKT leo baada ya vijana zaidi ya 3000 kurudishwa nyumbani wakina wamehitimu mafunzo ya kijeshi bila kupewa ajira huku wakiwa na sifa mbalimbali wengine degree nk waliingia kwa kujitolea majambazi yataongezeka mtaani .
Tangu walivyorudishwa makwao Hali ya ujambazi ikoje?
Umesema walijitolea.
Kuwa na degree sio hoja.
Walisomea Nini?
 
Eti lengo siyo ajira ? Acheni mbwembwe jamani.LENGO KUU LA MTU KWENDA JKT KUPATA NI AJIRA JESHINI, OVER !
Ajira ni pamoja na kujiajiri, issue ni kupata mafunzo ili ayatumie mafunzo hayo akajiajiri ktk sekta binafsi, mtazamo wa mafunzo ya jkt kuwa kila anaepitia mafunzo hayo ni lazima aajiriwe ni matumizi mabaya ya akili.
 
Hata mm nilipita JKT lengo la JKT si kujipatia ajira Bali ukakamavu pamoja na kujivunza uzalendo wa nchi yako km wewe ulijua ni ajira pole baba
 
warud mtaan wakaoneshe mafunzo yao,hii serikal n ya ajab sana,kama imewadanganya watumish kuwapandisha madaraja na ilikuwa mwisho tare 30 Mei na watu hawaja panda madaraja sembuse wao ambao ndo kwanza walikuwa wanatarajia kupata ajira,huko kama huna m2 wa kukushka mkono hakika imekula kwao.
 
Kajiunge haraka sana kwani weeewe ni hot cake uraiani, jeshini na hata ktk shule binafsi ...halafu jeshini wanasomesha sana kuliko hata serikalini pls!
Shukrani mkuu

Kwahiyo unanishauri nitundikie daluga jeshini huko...

Maana niliowazunguka wananiambia ntaenda poteza muda tuu na shahada kibindoni!!
 
Endelea kupotosha - JKT haikuwahi kuahidi kwamba wote wanapitia mafunzoni wataajiriwa
Serikali inahimiza vijana kujiajiri
 
Vilio vyatawala kwenye makambi ya JKT leo baada ya vijana zaidi ya 3000 kurudishwa nyumbani wakina wamehitimu mafunzo ya kijeshi bila kupewa ajira huku wakiwa na sifa mbalimbali wengine degree nk waliingia kwa kujitolea majambazi yataongezeka mtaani .
Wakiwa majambazi huo ni uamuzi wao. Kwani hujawahi shuhudia majambazi walioajiliwa kwenye taasisi mbalimbali hata majeshi? Waki opt kuwa majambazi vyombo vya ulinzi na usalama vitafanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom