ukijua kingereza halafu huna pesa unakua ni ndezi tu.
Umenifurahisha sana mkuu. Hujatokwa na povu wala nini, kitu SIMPLE and CLEAR.
Ngoja nikugongee bonge la LIKE.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ukijua kingereza halafu huna pesa unakua ni ndezi tu.
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.
Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae na kunionyesha jinsi wanavyosoma vyio vikuu kwa rahaa nikabaitika kuona test zake, cha kushangaza na kusikitisha moja ya test zake zenye alama za chini msahishaji alimwandikia kwa herufi kubwa Improve ur english nilishangaa sana na kujiuliza maswali mengi sana kichwani
wakuu mliopata bahati ya kusoma vyio vikuu hawa vijana wetu wanafanya nini mavioni
si bora waje huku mkuu rombo wanisaidie kilimo cha jembe la mkono
nawasilisha kwa masikitiko makubwa
Wahenga walisema,"nyani haoni kundule".Sishangazwi na huyu kijana wa chuo kikuu kutojua lugha ya kigeni yaani kiingerza kwa sababu kwanza ni kutokana na mfumo mbovu wa ufundishaji lugha husika katika shule zetu nyingi hapa Tanzania,lakini pili elimu ya mtu haiwezi kupimwa kwa kutojua lugha ya kigeni.Utafiti uliowahi kufanywa na shirika lisilo la kiserikali la Haki Elimu ulibaini kuwa zaidi ya asilimia 55 ya wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawafahamu ligha ya kiingereza kwa ufasaha lakini ni wawakilisi wazuri kabisa wa majimbo yao.Kama hiyo haitoshi hata lugha yetu tu ya Taifa ni tatizo kwa watanzania walio wengi mfano mzuri ni wewe mwenyewe badala ya kuandika "vyuoni" umeandika "mavioni",kusheherekea" badala ya "kusherekea"
Jipange Mkuu.ELIMU KWANZA na si KILIMO KWANZA.