johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,147
Mbona Wanaume wa Ukraine hawajakimbia nchi yao?Hata humu Tz ikitokea hali kama hiyo ya Urusi watakimbia. Hii ni kwa sababu kipindi cha bata wanapata nafasi za kuingia jeshini kwa mbinde, kipindi cha vita ndo wanapelekwa kwa amri.