vijana na kaulimbiu ya kilimo kwanza..... honey moon ya nini?

kusema watoto wa kike ni bahati mbaya ni kufuru mbele za Mungu coz yeye ndo anaepanga.N A KAMA NI BAHATI MBAYA hata mama ako alizaliwa kipindi cha honeymoon ko tumuite bahati mbaya?Acha udhaifu wewe

mi ninachojua kuwa katika uzazi, chansi ya kuzaa KE ni kubwa kuliko ME (75% KE 25% ME)

refer XX *XY
 
Anafaa kuwa wa kwanza ila kama alizaliwa nje ya ndoa mfano watoto wanaopata mimba wakiwa mashuleni huwa wanazaa wakike.!
Ni reseach ambayo imetolewa na wataalamu na si mimi
Hata wewe jaribu kuchinguza utaona wengi ni wa kike na walio ndani ya ndoa wengi utakuta wanachanganya yan wakwanza wanakuwa nusu kwa nusu 50% kwa wakike na kiume na si 80% kwa 20%

ngoja nkusaidie kidogo kutetea point yako erickb52... kw ninavofahamu mie mwanaume anatoa XY,, x inatengeneza mtoto wa kike na y inatengeneza mtoto wa kiume zikikutana na XX za mama, possibility ya kupata mtoto wa kike inakuwa kubwa km mtu atafanya tendo few day before ovulation kutokea bcuz x zinaweza kuishi muda mrefu ukilinganisha na y. so mtu akifanya tenda wakati anakaribia kuingia siku za kutunga mimba uwezekano wa kupata mtt w kike ni mkubwa, nadhani hao wanaopata mimba nje hupata kipindi hicho anajiona yupo ktk siku salama lkn x chromosome km iko hai mtoto wa kike anafanyika
 
dah... mkuu hapo inaonyesha jinsi vijana walivyokuwa hatari! wote mafoward uwanjani, demu anaona miaka inakimbia, jamaa full msanii! solution ni moja 2,mimba = harusi. ndio maana baada ya miaka mitatu wanaachana wanarudi kuongeza idadi ya waasherati mtaani na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja!
 
Back
Top Bottom