vijana na kaulimbiu ya kilimo kwanza..... honey moon ya nini?

zimwimtu

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
1,988
1,095
siku hizi kuna kaulimbiu hii kwa vijana, ikimaanisha kwamba mimba kwanza ndoa baadae. Imekuwa ni hali ya kawaida kiasi kwamba karib 80% ya ndoa zinazofungwa hapa daslam you find the bride is pregnant. ni jana tu nilihudhulia kikao cha harusi ya rafiki yangu, mitaa ya sinza kwa remi, anataka kamati imtengee kiasi fulani kwa ajili ya honey moon wakati sisi watu wa karibu tunajua gf wake is pregnant ndo maana katukalisha vikao fasta ili kukwepa aibu.

nijuavyo mimi, honey moon ni kwa ajili wa kuwapa maximum privacy maharusi ku-enjoy tendo la ndoa as they are new to each other... (pamoja na kutengeneza mtoto

sasa mimba imo tayari honey moon ya nin?

karibuni kwa maoni yenu kabla sijapeleka hoja binafsi kwenye kikao kijacho kupinga kuwatengea kiasi cha pesa kwa honey moon.
 
maisha hayana formula.

Kwa hiyo watu wakipeana mimba wasifunge ndoa au wasiende hanemuni?

Sielewi mantiki.
 
Mara nyingi huwa wanasema hivyo kwa kujikinga na kashfa ila ukweli ni kuwa wananogewa na wanajikuta washabebeshana Mimba bila kuplan then wanajifanya eti walikusudia....!
Ukitaka kujua mimba ni bahati mbaya wengi wanazaa watoto wa kike na si wakiume!
 
kwa hiyo mtoto wa kike akizaliwa ni bahati mbaya???

Sasa nani angewazaa hao wanamme kama kuzaa mtoto wa kike ni bahati mbaya?

Au mtoto wa kike hafai kuwa wa kwanza??

Sijakuelewa labda.

uhhh! i don't get this hebu tiririka zaidi arifu!
 
Hapo honey moon ina hitajika ili kutengeneza njia ya mtoto kupita wakati wa kujifungua!
 
kwa hiyo mtoto wa kike akizaliwa ni bahati mbaya???

Sasa nani angewazaa hao wanamme kama kuzaa mtoto wa kike ni bahati mbaya?

Au mtoto wa kike hafai kuwa wa kwanza??

Sijakuelewa labda.

mh!!!!!cdhani kama madaktari wa jf wamegoma!!!!watakusaidia!!!!!
 
Mara nyingi huwa wanasema hivyo kwa kujikinga na kashfa ila ukweli ni kuwa wananogewa na wanajikuta washabebeshana Mimba bila kuplan then wanajifanya eti walikusudia....!
Ukitaka kujua mimba ni bahati mbaya wengi wanazaa watoto wa kike na si wakiume!
kusema watoto wa kike ni bahati mbaya ni kufuru mbele za Mungu coz yeye ndo anaepanga.N A KAMA NI BAHATI MBAYA hata mama ako alizaliwa kipindi cha honeymoon ko tumuite bahati mbaya?Acha udhaifu wewe
 
hizi chai za Jf!kwa hiyo watoto wa kike ndo wa bahati mbaya?
 
kusema watoto wa kike ni bahati mbaya ni kufuru mbele za Mungu coz yeye ndo anaepanga.N A KAMA NI BAHATI MBAYA hata mama ako alizaliwa kipindi cha honeymoon ko tumuite bahati mbaya?Acha udhaifu wewe
Hakuna udhaifu hapa
We chunguza uone hawa wanaozaa kabla ya ndoa namaanisha mimba ilipatikana kabla ya ndoa utakuwa watoto wengi ni wakike...!
Sijasema mtoto akizaliwa bila plan ni kumkosea ukweli uko palepale kazaliwa bila plan na hata ikiwa hivyo hawezi kuwa haramu!
 
kwa hiyo mtoto wa kike akizaliwa ni bahati mbaya???

Sasa nani angewazaa hao wanamme kama kuzaa mtoto wa kike ni bahati mbaya?

Au mtoto wa kike hafai kuwa wa kwanza??

Sijakuelewa labda.
Anafaa kuwa wa kwanza ila kama alizaliwa nje ya ndoa mfano watoto wanaopata mimba wakiwa mashuleni huwa wanazaa wakike.!
Ni reseach ambayo imetolewa na wataalamu na si mimi
Hata wewe jaribu kuchinguza utaona wengi ni wa kike na walio ndani ya ndoa wengi utakuta wanachanganya yan wakwanza wanakuwa nusu kwa nusu 50% kwa wakike na kiume na si 80% kwa 20%
 
maisha hayana formula.

Kwa hiyo watu wakipeana mimba wasifunge ndoa au wasiende hanemuni?

Sielewi mantiki.
nakubali maisha hayana fomula, na si kwamba watu wakipeana mimba wasifunge ndoa. ila wanakuwa washavunja kusudio la honeymoon... mie nadhani wakimalize hausi waendelee na maisha nyumbani kwao tu, sio kuongeza mi-gharama wakati mshamaliza kila kitu..
 
Anafaa kuwa wa kwanza ila kama alizaliwa nje ya ndoa mfano watoto wanaopata mimba wakiwa mashuleni huwa wanazaa wakike.!
Ni reseach ambayo imetolewa na wataalamu na si mimi
Hata wewe jaribu kuchinguza utaona wengi ni wa kike na walio ndani ya ndoa wengi utakuta wanachanganya yan wakwanza wanakuwa nusu kwa nusu 50% kwa wakike na kiume na si 80% kwa 20%

Una maana wale mabinti wa Obama ni wa Bahati mbaya?
 
uzazi siku hizi ni shida, wanaona njia nzuri ni kubeba ujauzito kabisa kabla ya ndoa

Kwa maana nyingine, hakuna biashara ya kuuziana mwanambuzi kwenye gunia hasa kama mnampango wa kuoana na si kuchezeana. Na honey moon inakuwa bado ya muhimu maana sasa waenda kuonja chakula kilichotakatifuzwa na Bwana. kumbuka hapo awali ulikuwa unakwiba tu. Na kawaida baada ya harusi nyumbani kwa bwana harusi kunakua na wegen wengi, hivyo ni vema mkae wawili muitafakari harusi yenu.
 
Alafu bwana mambo ya kwenye vikao vya harusi unatuletea huku, kamati yenyewe wamekuweka una majungu hivi hiyo harusi itafungwa kweli? Honey moon ni mapumziko tu na faragha kwa huyo bi harusi na hicho KIJACHO alichobeba, kiwe cha ndani au nje asali mwezini lazima. Toa mchango au rudisha kadi ya mchango.
 
Back
Top Bottom