Vijana mkipata wasichana wanaojitambua, oeni

Wasalaam,

Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae.

Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana.

Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka leo nahangaika na makurumbembe. Sijui kama nitapata wa kuziba lile pengo.

M mwenyewe kuna kijana ananiringia htr siku nikifa ndy ataelewa
 
Ewe kijana usioe kama unajua bado una maomivu moyoni ya kumkumbuka Ex wako, Wanawake wa sasa asilimia 99 ni wadangaji tuliza akili subiri uchungu uishe ndipo muishi uchumba sugu.
 
Wasalaam,

Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae.

Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana.

Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka leo nahangaika na makurumbembe. Sijui kama nitapata wa kuziba lile pengo.
double click
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom