Vijana Katoliki(Viwawa) Fuateni Kauli ya TEC si ya Pengo.

chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,695
4,947
Huu umekuwa ni ujumbe mzito uliotolewa na Mwendesha semina kwa vijana, kwenye semina ya Pasaka ya Viwawa. Semina hiyo iliyoanza asubihi mpaka muda huu bado inaendele ktk Parokia ya Mt. Ambros Taghaste(Mbezi kibanda cha Mkaa).
Mada kuu zilikuwa ni Katiba Mpya(Kura ya hapana),

Kujiandikisha kupiga kura
na;
Zawadi ya Uhai na kuutunza(
Kupinga utoaji mimba na Artificial Family planning)
Mtoa mada ni Pr Kulwa ambaye pia ni mwalimu wa seminari.
My Take: Hamasa ni kubwa juu ya kura ya hapana kwa vijana
 
Kibogoyo nimemdharau sana Mimi.
Sijui amekula maharage ya wapi yule
 
Father Kulwa ni muelewa sana.... Lazima atakuwa na sababu za kutosha.... He was very intellectual
 
Katiba inajadiliwa huku nje kuna askari wanalinda watu wasisogee as if in Garissa,mnatengeneza katiba ya nchi ama ya jeshi? Alafu eti Leo mnawaomba wananchi haohao waipigie kura ya Ndiyo,mmbona mwanzo mliwawekea karantiini na mabomu? kwanini msipige kura nyinyi na askari wenu?
 
...Katiba pendekezwa "HAPANA" ni najisi,batili na haifai kwa Watanzania, kwa kuwa imeaandikwa na watu ambao kwa makusudi walikuwa wanajua madhala ambayo yangewapata' kama katiba Bora ya Jaji Warioba ingepitishwa, na kwa sababu hiyo walikubaliana kuondoa vifungu vyote vyenye maslahi kwa Taifa
kwa ajili ya kujilinda wenyewe, ukoo na familia zao.
 
Back
Top Bottom