vijana huku mnapoelekea sio kabisaa


Uvaaji gani huu! hii style sijui inajina gani....

374768_10150434460804198_781164197_8345252_1183598905_n.jpg


Bora maisha kwa kila mtanzania.
 
Imagine huyu tozi nyangema atimuliwe mbio na dog, inakuwaje atakavyo kimbia!

Hiyo style njinsi ilivyo anza , must be ije itokee new style ya kutokuvaa kabisa suluali. Bt kwa tabia zinazozuka sasa hivi duniani ni dhahiri kabisa kuwa fimbo ya mwenyezi mungu imeanza kutuchapa kwa style hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom