vijana huku mnapoelekea sio kabisaa

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,369
5,513

Uvaaji gani huu! hii style sijui inajina gani....

374768_10150434460804198_781164197_8345252_1183598905_n.jpg

 
Hiyo inaitwa KATA GOTI (Ile ya zamani ilikua KATA "K")

hahaha imagine atembea kwa swing mtaani.. na hiyo style.. au akiwa anacheza pool table

Hii sio bongo mkuu.

ni kweli kwani hata muanzisha thread hayupo bongo... lakini kwa akili zetu za kuiga hiyo style ipo njiani yaja...



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom