Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, watoto wa wasanii.
CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri, mkuu wa mkoa au wilaya, au hayupo kwenye taasisi yoyote ni ngumu kutoboa.
CCM ni chama cha vigogo kubebana na kupeana channels wenyewe kwa wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app