Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana acheni kula Tigo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kazikubwa, Dec 28, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zilizotolewa kwenye vyombo mbali mbali vya habari hivi punde zimeonyesha kuwa mabinti wengi kati ya miaka 18-35 wanachekelea kuliwa Tigo. Sababu za kuliwa Tigo zimeelezwa kama ifuatavyo:

  1. Kujikinga na mimba
  2. Kulinda bikra
  3. Kuiga mambo ya kwenye mtandao
  4. Kama sehemu ya kujiongezea kipato

  Ushauri: Vijana wetu mchezo huo ni haramu na mungu haupendi kabisa. Pia, unamadhara makubwa kiafya. Wana JF tuwaelimishe vijana wetu wasielekee kwenye upotevu huu mkubwa kabisa.
   
 2. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 9,607
  Likes Received: 2,707
  Trophy Points: 113
  Ungetuwekea na hayo madhara ya kiafya mkuu...naona unaishia kusema tu "MUNGU HAPENDI"..Kuna miaka ya tisini tulikua tunaambiwa Mungu hapendi kuvaa JEANS kwa sababu ni vazi la kihuni ila leo ni ruksa sijui ndio kaamua kupenda???
   
 3. s

  sayicom Senior Member

  #3
  Dec 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana acheni kula Tigo, wazee...........
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,424
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 48
  mbona hupigi kelele kuwa kigegedana mungu hapendi!!! tigo tamu wewe kijan...huku tanga tunajienjoy kwa raha zetu
   
 5. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,399
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Usiseme Mungu tu mkuu, na je? Wasiomini katika Mungu, utawashauli vipi kuacha kufokonyoa 0714
   
 6. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuambie madharaa wengine hawajui...
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,715
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38
  Ukiona kitu kinazungumziwa sana basi ujuwe ni kinono hicho...Tatizo wanaokula hawsemi, na wanaoliwa wanakaa kimya...

  Kila mmoja anamuonya mwenzake..oooh 0713 ni haramu, oooh Mungu hapendi...Sasa kama wote ni waonyaji, basi hakuna anayeliwa wala kula mtandao...
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahah wazee wa sewage utawajua tu.....
   
 9. Stamina

  Stamina JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 877
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  mkija zeeka mtashindwa hata kwenda haja ndogo, coz mrija utaziba vijana!! na madada wakati wa kujifungua ipo kazi!!
   
 10. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 941
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka na mleta uzi. Kwa namna alivyoandika, inaonekana dhahiri ni mwanachama mkongwe wa chama cha wala 0713. Huu uzi ni wa kutuzuga tu.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 20,230
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  Sure...
   
 12. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 48
  Hivi tigo ina utamu gani mimi mbona husikia kinyaa unamtoa zakaria anatema kinyesi balaa
   
 13. andate

  andate JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,684
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Sisapoti kula tigo, lakini elezea zaidi hapo kwenye red.

  Shahwa huwa zinatoka mwisho wa mchezo, je hudhani kwamba zinakuwa pia zimesafisha mrija?

  Unapoenda kukojoa mkojo wa kawaida ambao ni mara kwa mara je hudhani pia mkojo unasafisha mirija?

  Kuziba mirija ya mkojo kunaweza kusababisha na hitilafu kwenye kibofu cha mkoja, wakati mwingine vitu yabisi vinaweza kuziba mirija kuanzia kwenye kibofu.

  Tigo inaweza ikawa na madhara kama ya punyeto kuharibu misuli ya uume kwa sababu inabana mno(sijui kama ziko tigo ambazo ni pana)

  Fafanua zaidi hapo kwenye red.
   
 14. N

  Natalia JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,466
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Nilifikiri wazungu tu
   
 15. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,612
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Kiwango cha kuambukizana ukimwi ni kikubwa kwa wanaofanya mapenzi kwa njia hiyo.
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,454
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 63
  Threads kama hizi zinamfanya mwarabu wangu abane Tigo,acha hiZo
   
 17. W

  WAVISA JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazee wa maji taka madhara kila siku yanatolewa sana hadi sasa yatajaza server, iliyobaki hapa tutengeneze namna ya kupiga kura, kama kuvurugana m.a.vi iruhusiwe au isiruhusiwe. ikishinda basi kila mdau atafute huko na huko kwenye vyanzo faida ya tigo, kama vile kwa demu kuolewa uku bkra, kutepeta **** kwaiyo kusababisha mtikisiko fresh na kadhaa wa kadhaa,
  maana kama jamii kitu tukiamua tunakifanya kisiwe dhambi, hayo ya dini kidogo yana utata kwani waleta uislamu ambao ni waarabu ndio walevi wa 0713 usipime na hapo hawasikii la jini wala la sheitwani na wale waleta ukristo saivi wanasisitiza hadi wanaume waoane, that means 0715 ni ruksa tu. tutengeneze mchakato wa kupiga kura. baada ya charminglady akishatangaziwa umalikia.
   
 18. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,058
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  acha maswali ya we member wa Tigo, mirija inaziba and go and google usiulize maswali mingi Kwani wewe ni police?
   
 19. Huntsman

  Huntsman JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 445
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
  Acha kupotosha watu wewe mimi mbona kuna demu nilikula tigo wiki mbili kabla hajajifungua na akajifungua kawaida tena bila hata ya shida yeyote labda ulete madhara mengine.
   
 20. Huntsman

  Huntsman JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 445
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
   
Loading...
Similar Threads - Vijana acheni kula Forum Date
Vijana acheni kuiga Mahusiano, mapenzi, urafiki Apr 12, 2016
Vijana acheni chipsi yai: Kula dona dagaa ujenge heshima kitandani Mahusiano, mapenzi, urafiki Apr 1, 2014
Dada zetu acheni kuwatega vijana wanaowasafisha kucha barabarani! Mahusiano, mapenzi, urafiki Dec 26, 2012

Share This Page