Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

Status
Not open for further replies.
kikundi cha uvccm kikiwa kinafanya MAZOEZI PORINI,kikakuta kikundi cha vijana wasio na itikadi yoyote KIKIFANYA MAZOEZI PORINI,kwa walioishi vijijini wataelewa umuhimu wa desturi ya kuwa na silaha kama panga au kisu kila mara unapokuwa porini au msituni,ila hawa uvccm mazoezi yao ni ya kivita kabisa,hawajifunzi kutumia panga au kisu hawa!! Hawa wanajifunza kulenga shabaha kwa SMG na AK47!!! Ni upuuzi kwenda kutafuta vijigaidi feki vichakani wakati magaidi munawafundisha wenyewe,tena mjini kweupeee.
 
Oh... Walishikwa huko kusini MTWARA sasa kuna MWANZA ina Maana they are all over TANZANIA???

Hii nchi tusipokuwa makini itakuwa nchi ya magaidi. It is unfortunate the president is busy with external trips, huku magaidi wapo busy na routine za ndani
 
Mleta mada kweli we ni mburula wa sheria..hvi kwa confidance zote unadiliki kutuaminisha kua akuna sheria inayozuia mtu kumiliki mapanga wala kumiliki mikanda ya mauaji..kama sheria zingekua zinatafsiriwa kwa style yko hyo nna hakika watu wangekua wanakufa kila siku,usiipeleke sheria kma unavoisoma ndugu tatizo ilo ndo linamfnya wazir magufuri pia aonekane waajabu pia kukalili kalili..

Sasa mkuu mimi ninamiliki panga 2 na visu kadhaa,mpe taarifa Kova haraka aje ani-arrest chap!!
 
nilijua jina lazma liwe hvyo,wabananishwe mpaka wataje wanaowatma kutuletea uharamia wao,kill them make wanajiandaa kuuwa
 
Nadhani sasa hutu tumuvi twangu twa Rambo na Shoziniga inabidi nitufiche mbali...nisijekamatwa na mimi bure...
 
Inanishangaza MODS kuhamisha HII HABARI na kuifanya ni ya MCHANGANYIKO; kweli hii sio HABARI ya KISIASA? Ukiangalia ni kwanini Al Shaabab walishambulia Kenya ni POLITICAL REASON

Kusambaa Nchini Tanganyika sasa wapo MTWARA kwa Training wengine ndio ndio wamemshika na CD MWANZA na wakati fulani walikuwa wanaongelea Mafunzo huko UKEREWE...

Kweli sio POLITICAL ISSUE? ni habari MCHANGANYIKO sio ya kuichukulia UMAANA???

Kweli badi hatujui SIASA; Siasa sio Mpaka Tuongelee CCM; CHADEMA; CUF; NCCR Jamani
 
Damu na maisha ya Waislamu siku hizi yamekuwa cheap sana! yoyote yule anayejihisi kumuua, kumfunga au kumtusi Muislamu anafanya tu.

...yana mwisho haya!
 
Waungwana naomba kufahamishwa kwani tulikuwa tunafanya mazoezi ya
GUJURUU, tukirusha mateke na ngumi hewani wakati mwingine tukitumia
na mapanga huku tukionyeshwa namna ya kumkabili mtu mwenye silaha hiyo.

Sasa nataka kujua iwapo haya ni mazoezi hatari ya kigaidi ili niachane nayo
haraka iwezekanavyo, mara nyingi mazoezi haya huwa tunafanyia katika msitu
wa jeshi ambao unapakana na eneo la wazi linalomilikiwa na TANESCO ambalo
hutumkia kwa kuhifadhia nguzo za umeme.

Kuna maeneo mengine mengi tu ambayo ni ya uficho tunayatumia kufundishwa
vitu vidogovidogo ili kujilinda na mateja ambao hutuibia simu.

NAOMBENI UFAFANUZI WAKUU
 
Inanishangaza MODS kuhamisha HII HABARI na kuifanya ni ya MCHANGANYIKO; kweli hii sio HABARI ya KISIASA? Ukiangalia ni kwanini Al Shaabab walishambulia Kenya ni POLITICAL REASON

Kusambaa Nchini Tanganyika sasa wapo MTWARA kwa Training wengine ndio ndio wamemshika na CD MWANZA na wakati fulani walikuwa wanaongelea Mafunzo huko UKEREWE...

Kweli sio POLITICAL ISSUE? ni habari MCHANGANYIKO sio ya kuichukulia UMAANA???

Kweli badi hatujui SIASA; Siasa sio Mpaka Tuongelee CCM; CHADEMA; CUF; NCCR Jamani

Mkuu

Umenivunja mbavu. Hapa nilipo nacheka mpaka watu wananishangaa...
 
Damu na maisha ya Waislamu siku hizi yamekuwa cheap sana! yoyote yule anayejihisi kumuua, kumfunga au kumtusi Muislamu anafanya tu. ...yana mwisho haya!
inshaallah khilafa itasimama na hukmullah itasimama kwa ak-47 tuu
 
Hii nchi tusipokuwa makini itakuwa nchi ya magaidi. It is unfortunate the president is busy with external trips, huku magaidi wapo busy na routine za ndani
Kweli unaamini huo ni ugaidi? Nyie watu waajabu sana kina Kileo, Lwakatare, wakiitwa magaidi mnalalamika.

Vipi CD za Rambo anavyowauwa Wavetnam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom