Kinyerezi Ilala wamekwama kwa sababu,walilileta mradi kihuni bila kupatana na wenye maeneo yao,hivyo wakawapeleka mahakamani,na mahakama kuu ikawapiga stop manispaa ya ilala kukanyaga Kinyerezi na kusimamisha zoezi lote laKimbunga, Naona siku hizi kuuza form za viwanja imekuwa ni njia moja wapo ya source ya revenue kwa manispaa zetu. Wanashindwa kubuni njia mbadala za kujipatia kipato. Nakumbuka vya Kinyerezi mpaka leo sijui kinachoendelea. najutia kwanini niliapply. Kuhusu idadi ya fomu, kumbuka pia kama zingetolewa form chache watu wangelalamika. Cha muhimu hao wagawaji wawe fair kwenye ugawaji.
is this an apology or a comment
Mkuu hasira hizi, toa somo kwa mama zetu na wazee wetu vijiji wape somo la umuhimu wa uchaguzi sahihi. Majina hayo ni machache kuna kina angela kizigha na shyrose banji wa bunge la afr mash. Wapo madiwani na familia zao, watendaji wakuu wa manispaa, familia na rafiki wa vigogo wa serikali. Hasira kali inatia kichefuchefuwapo waliokosa kabisa ambao hata kiwanja kimoja hawana....wht are u talkinng..talk sense...kinachopimwa hapa ni tamaa. hakuna tamaa nusu...tamaaa ni tamaa tu....kama una viwanja 20; nyumba ya serikali umeuziwa tena kwa bei ya kutupa; vyeo mnagawana; kazi za umma mnagawana; makampuni ya umma mnauziana; bado mnakuja huku uswahili kwetu kugombania viota.......huu ni unyang'au
Hawa jamaa wa manispaa hovyo kabisa. Wanatuuzia form tena unapanga foleni kuanzia saa kumi usiku lakini kiwanja hupati. Huu ni wizi wa mchana kweuupe. Sipendi
Viwanja vya Kinyerezi walikula hela yangu , this time nikasoma mchezo nikasema hawanipati NG'O
Mie wamekula pesa yangu ya majina matano sina hamu hata nisikie kuna viwanja vya kulipia 5000 sitaki.
DO YOU REAL KNOW THE DIFFERENCE BETWEEN THE TWO?
Apology is an admission for being guilty or a request for forgiveness
Comment a remark, observation, or criticism
THEN CHOOSE FOR URSELF. MIMI NI9 EXPERT KATIKA ENEO HILI LA MASUALA YA ARDHI. SASA KAMA UNADHANI KUELEWESHWA NI KUWA GUILTY THEN ITS AN APOLOGY OTHERWISE I WAS GIVING SOME CRITIQUES ON UR STATEMENT. NEXT TIME MAKE IT CLEAR BEFORE U PROVIDE ANY PIECE OF INFORMATION
Mie wamekula pesa yangu ya majina matano sina hamu hata nisikie kuna viwanja vya kulipia 5000 sitaki.
Mie wamekula pesa yangu ya majina matano sina hamu hata nisikie kuna viwanja vya kulipia 5000 sitaki.
Hili gazeti limepotoshwa umma; Vigogo waliopata viwanja ni 39 ama 2.16% ya watu 1,800 waliopata viwanja. Wasio vigogo ni wengi kuliko vigogo. Watz msiwe na kasumba ya kubwabwaja pasipo kuingia ndani kwa hoja
Kumbuka kuwa hao vigogo walipeleka na majina ya watoto/ndugu/rafiki zao na pia kuna viwanja cilivyochukuliwa na mashika mbalimbali kwa mfano TBA(Tanzania building agency), benki iliyoikopesha manispaa, wizara mbalimbali, Ikulu n.k. Viwanja vilivyobaki kwa wananchi wa kawaida ni vichache sana. Kama unaweza kujiuliza katika zaidi ya watu 30,000 walioomba iweje majina hayo ya vigogo yaonekane zaidi wakati kuna wananchi wenye uwezo wa kulipa.well said
hii hapa