Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 23,335
- 20,989
MAKAMANDA tuko mtari wa mbele tunapambana.....warudi nyumbani WAKAGAWE VITENTENGE NA KANGA ...NA ...watuandalie nyimbo za kuwapokea MASHUJAAAAA 2015 !!!!
Hao walifikiri cdm ni maskani ya tembo ! Let them go! Cdm ,hawana nia njema na wananchi, they want to be granted some vac, in the gov, behind the closed door!
nisichokijua ni kiasi gani ccm wametenga kufanya kazi hii ambayo lengu lake kubwa ni kuchelewesha ukombozi wa mnyonge wa Tanzania
Hii Sera ya ubaguzi aliianzisha KIkwete juzi baada ya uamsho na makanisa mbagala kuchomwa akakauka midomo sijue afanye nini,kama unataka kuendeleza huu ujinga wa CCM muulize Kikwete alifanyanje si alikimbia nchi hapa karudi uamsho wako ndani,baadhi ya maeneo ya nchi anatembea kwa kunyata musijipalie mkaa kimbunga cha ubaguzi hamtakiweza viwavi nyieIkitokea watu wote wakajua ,uozo,udini,ukanda na ukabila uliopo ndani ya chadema sijui itakuaje?subiri tuone.
Na kwa ngugu zote na zoteHii Sera ya ubaguzi aliianzisha KIkwete juzi baada ya uamsho na makanisa mbagala kuchomwa akakauka midomo sijue afanye nini,kama unataka kuendeleza huu ujinga wa CCM muulize Kikwete alifanyanje si alikimbia nchi hapa karudi uamsho wako ndani,baadhi ya maeneo ya nchi anatembea kwa kunyata musijipalie mkaa kimbunga cha ubaguzi hamtakiweza viwavi nyie
Ikitokea watu wote wakajua ,uozo,udini,ukanda na ukabila uliopo ndani ya chadema sijui itakuaje?subiri tuone.
Makorokotwa aliyoyasema Mkapa ndio yanarudi CCM nani mwenye akili timamu atarudi kwenye chama Cha Baba Mama na Watoto,KIkwete anapitisha familia yake bila kupingwa kuingia NEC na MaCCM yanakaa kupiga makofi kwa kutegemea yatagawiwa vipande vya ardhi Dubai ha haWote watakuwa mwili mmoja pamoja na Baba. Wakati wenu ukiwadiia mtarudi kwa baba naye atawapokea kwa mikono miwili na kuwafanyia sherehe. KARIBUNI CCM nafasi ingalipo tele......!
mkuu Meli, Haitatokea kwa sababu ukweli hutofautiana na dhana ya kufikirika sana.
Ni kawaida au rahisi sana kuota ndoto ukiruka angani kama njiwa ukitumia mikono tu, lakini ukiamka asubuhi upo kitandan pale pale, Ni rahisi sana kuandika na kuelezea watu vitu vya kusadikika ambavyo kiuhalisia havipo.
Kizazi cha leo sio kile cha zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm wengine bila kuhoji wala kujiuliza kama ni fikra sahihi kweli na zina tija au hapana - wote waliitikia zidumuuuuu (hatakama zilikuwa pumba ilikuwa lazima uitike na utii, leo hii thubutu nani anafanya hivo?) Dunia inabadilika, mataifa yanabadilika tanzania inabadilika, jamii inabadilika na mtu mmojammoja wanabadilika wanaelewa na wanatafakali nisuala la wakati tu.
Wale waondhani kuutaja tu ukabila na udini ni kuwachafua chadema ni kujidanganya. Tunahitaji siasa safi, yakweli na yenyetija kwa kuwaunganisha watanzania kama taifa na kuwaongoza katika mafanikio ya mtu mmojammoja, jamii na taifa kama watazania.
siasa za majitaka, porojo na propaganda zimepitwa na wakati
CHADEMA ni wachuuzi wa maneno wakati CCM ni watekelezaji wa mipango ymendleo itokanayo na maamuzi mkini kwa manufaa ya umma. Kila mwenye pumzi na aseme CCM juu...Juu...juu....juu zaidi! Mtatukana mpaka midomo imegeke! Nasi twasema, Amina..
Tunakwambia Mwenzio KIkwete kajifunza adabu Miezi zaidi ya sita kwenye kampeni za 2010 yeye alikuwa na udini,ukabila,Baada ya kupachikwa uraisi akakazana maneno yeleyale juzi kakimbia nchi hapa karudi kumetulia na wewe tunakwambia yatakutokea puani ujinga kugawa nchi kwa makundi kwa sababu ya kubaki madarakani puu