Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,104
Taarifa zilizopo hewani ni kuwa Aveva na wenzie wako mbaroni......
Stay tuned for more
Stay tuned for more
Somba fc ya wapi au ile ya moshi
Duh, sasa comrade Aveva...sijui itakuwaje...Hii ni dalili mbaya kwa viongozi wa soka nchini...Naona utumbuaji umeanza...sasa wakienda huko TFF sijui mwavuli wa FIFA, utasaidia kweli??? sina hakika, maana hata huko FIFA nao walitumbuliwa...yaani hao akina Blatter...Ni afadhali utumbuaji ufike TFF, kwani uozo ulioko huko unatisha...rushwa kila kona ya soka...kuna watu wanajiita eti 'Watu wa Mpira'....hawana lolote rushwa tu na wizi wa gate collection...matokeo karibu yote yanapangwa....Taarifa zilizopo hewani ni kuwa Aveva na wenzie wako mbaroni......
Stay tuned for more
Mkubwa si urekebishe maana mpaka sasa inasomeka SOMBA!!.Muhimu mmeelewa
Mkubwa si urekebishe maana mpaka sasa inasomeka SOMBA!!.