CHADEMA wanachama wake wote wapo sawa hakuna kigogo.
Siwezi kupoteza muda kushabikia habari za magazeti ya uamsho kwani haya magazeti dhaifu kama haya yote akili zao ni sawa na radio iman au gazeti al-nuur kwani yote kwa pamoja yanandikwa kwa kutumia ukilaza, kwani huwezi eti hii habri kuiamini kwani imekaa kiudaku zaidi pia inatumia jina la CDM kujiuza.
siwezi kupoteza muda kushabikia habari za magazeti ya uamsho kwani haya magazeti dhaifu kama haya yote akili zao ni sawa na radio iman au gazeti al-nuur kwani yote kwa pamoja yanandikwa kwa kutumia ukilaza, kwani huwezi eti hii habri kuiamini kwani imekaa kiudaku zaidi pia inatumia jina la cdm kujiuza.
Hiki kiji-gazeti cha Hoja pamoja na kila cha Sauti Huru vinatia aibu kwa tasnia ya habari. Aibu aibu aibu ukisoma mambo wanayoandika humo ndani. Wengi wa waandishi wa hivi vijarida ni wanaume na ndio nashangaa wanaume gani wanandika umbeya kama huu?
Hoja wamezuka na CHAUMMA kuwa ni kimeanzishwa na CHADEMA! Nani asiyejua CCM ndio magwiji wa kuanzisha vyama vya msimu? Lakini pia hawa Hoja wamejikita sana kumshambulia Freeman Mbowe yeye binafsi kwa kusema kuwa 'DJ kuiongoza Tanzania kitakuwa kilele cha udhaifu'. Mbowe amekuwa kwenye siasa miaka 20 sasa imekuwaje leo ndio wanaona u-DJ wake? Hao ambao si ma-DJ wamefanya nini hii nchi?
Sauti Huru wao kazi yao ni moja - kuhubiri ukabila. Na waandishi wake ni wafanyakazi ofisi za CCM-Lumumba. Sijui CCM watajitoaje kwenye hii dhambi ya kugawa watanzania? Watapata wapi moral authority ya kusema wao ni chama cha watanzania wote na sio mafisadi? Wanataka watanzania wajikite kujadili ukabilia, udini ili wao CCM waendelee kuifasadi nchi?
Well hawa wote ni wanachama hapa JF tusubiri wao watasema nini?...everything possible under the sun!
watu wanakimbia chadema kwa ukanda, udini, uchagga. Wanachama wake ni wakristo tu.
Chama cha wachanga,chama cha kikatoliki