Vigogo CHADEMA wahusishwa na chama kipya - CHAUMMA

kumbe kuna gazeti kama hili hapa bongo, naona ndo linatambulisha uwepo wake du
 
Hiki kiji-gazeti cha Hoja pamoja na kila cha Sauti Huru vinatia aibu kwa tasnia ya habari. Aibu aibu aibu ukisoma mambo wanayoandika humo ndani. Wengi wa waandishi wa hivi vijarida ni wanaume na ndio nashangaa wanaume gani wanandika umbeya kama huu?

Hoja wamezuka na CHAUMMA kuwa ni kimeanzishwa na CHADEMA! Nani asiyejua CCM ndio magwiji wa kuanzisha vyama vya msimu? Lakini pia hawa Hoja wamejikita sana kumshambulia Freeman Mbowe yeye binafsi kwa kusema kuwa 'DJ kuiongoza Tanzania kitakuwa kilele cha udhaifu'. Mbowe amekuwa kwenye siasa miaka 20 sasa imekuwaje leo ndio wanaona u-DJ wake? Hao ambao si ma-DJ wamefanya nini hii nchi?

Sauti Huru wao kazi yao ni moja - kuhubiri ukabila. Na waandishi wake ni wafanyakazi ofisi za CCM-Lumumba. Sijui CCM watajitoaje kwenye hii dhambi ya kugawa watanzania? Watapata wapi moral authority ya kusema wao ni chama cha watanzania wote na sio mafisadi? Wanataka watanzania wajikite kujadili ukabilia, udini ili wao CCM waendelee kuifasadi nchi?

Mkuu unanifurahishaga sana kwa hoja maridhawa humu jamvini lakini nimeshangaa huna kamedali! Unastahili angalau ka-bronze Mkuu wangu maanake likes pekee sio kiwango chako.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
watu wanakimbia CHADEMA kwa UKANDA, UDINI, UCHAGGA. wanachama wake ni wakristo tu.

kama huna hoja kaa kimya, si lazima uandike ona sasa unavyoandika uharo?! hayo mambo ya ukristo na uchaga umeyatoa wapi? au umesahau kumeza dawa zako za akili leo?
 
Chama cha wachanga,chama cha kikatoliki

Hivi ndo mnavyo endelea kuwa masikini na hamta isha kulalamika, enzi za ukoloni na mwanzoni wa Tanganyika Huru mlikataa kusoma shule za misheni kwa vile mliamini mtasilimishwa, wachache waliokubali ndio wanao faidi matunda ya elimu zao, Nyerere alipotaifisha shule za misheni ili nanyi msome mkadai hiyo ni elimu dunia, leo mnalalamika eti waislam mnaonewa, CDM wanapinga ufisadi leo mnasema ni chama cha Kikristo, hivi Uislam unaruhusu ufisadi na wizi? If yes, je ni dini ya mwenyezi Mungu? If No, nyie kuishabikia CCM mnampendeza Mungu wenu? Lakini pia hivi ni kweli CDM ni ya kikanda au kidini kweli? Hivi yule makam Mwenyekiti wa CDM, si ni sheikh yule? Mbona Zitto Zuberi Kabwe ni Sala Tano? Hivi mheshimiwa Sugu, Msigwa, Marehem Regia Mtema, hawa ni wachaga? au je wanatokea nao Kaskazini? Madai yenu ya kijinga na yasio fanyia utafiti hata wa kidarasa la Kwanza ndo yanayo sababisha mdhalauliwe hata na nchi nyingi zinazo penda ustarabu! Na sometimes hata nyie mnapigana vita vya kijinga kabisa kama kuchoma makanisa, kwa wakristo ibada huanzia ndani ya moyo,ukichoma kanisa umedhoofisha imani yao kwa asilimia 0.0005% maana ukristo wao upo moyoni!

Tushirikiane kwa pamoja kuikomboa nchi hii mikononi mwa CCM kwa faida ya kizazi chetu na kijacho, yaani watoto wetu na watoto wa watoto wetu, vinginevyo tutakuja juta huko mbele kama ambavyo mnavyo juta leo kwa kukosa Elimu!
 
Ninachotaka kuwambia ccm sasahivi wanatafuta kila mbinu ya kudhoofisha cdm
Minataka niwambie kuwa hadanganyiki mtu, na wameshemsha hapa hakuna mtoto wa kundanganywa kwa
ilo waelewe. Hata watafute uongo wao kutoka mbinguni 2015 watapata jibu lao la uongo
ata wafanyeje si wamezoea kuchakachua sasa achakachuliwi mtu, nataka niwambie 2015 itakuwa
jino kwa jino, shoka kwa shoka mpaka haki inapatikana tumewachoka hawa bubuzera na makhanga yao,
matisheti sasa niwakati wa kujikomboa. mpaka ukweli utajulikana na kujionesha wazi
 
Jamani hiyo habari ikoje mbona naona kichwa cha habari na picha contents vipi?
 
Magazeti Leo Ijumaa


DSC_5198.JPG


DSC_5199.JPG


Napata shida kuyaita haya magazeti,uwezo wa waandishi,upatikanaji(source) wa habari na dhima nzima ya habari yenyewe ni utata mtupu na mwisho aliyeko nyuma ya habari hizi.Yataibuka mengi sana kuelekea 2015.kuna mengine yamekufa baada ya uchaguzi wa arumeru.bahati mbaya sana audience ya sasa siyo 47 hata rai iliyokuwa inapendwa miaka hiyo ilishapoteza mvuto kwa wasomaji long time.Magazeti makini yanajulikana na ukitaka kujua hili angalia circulation yake na jinsi yanavyonunuliwa wakati mengine pamoja na headings za kimbeya zilizoshamirishwa na picha ili kuwaada wasomaji yanadodea kwenye mbao za wauzaji.
 
Well hawa wote ni wanachama hapa JF tusubiri wao watasema nini?...everything possible under the sun!

... Najaribu kupata all the logical flow for this kind of a political shift... really Sioni uwezekano huo kimantiki labda kwa namna nyingine!!
 
Rais dhaifu, serikali dhaifu,chama dhaifu, spika dhaifu,wabunge dhaifu,mbinu za kuibomoa Chadema nazo dhaifu. Upuuzi mtupu, habari hizi hata mtoto wa chekechea hawezi kuziamini. Watanganyika tukatae udhaifu kwa kuipiga chini CCM.



Na nyie wananchi ni dhaifu..... Te he te he

@PJN at Mtwara Gas City
 
1 out of every 5 men who are supporting CCM are Gay.Look at 4 of your CCM friends,if they're straight then its time you come out of the closet.
 
Kama hoja ni u dj mbona madagascar inaongozwa na dj? Natamani rungu lishushwe ila kwa kuwa ni magazeti ya wakubwa wa nchi hayafanywi lolote. Lingekuwa mwananch hapo ama Tanzania daima rungu muda wowote. Shame on these magazines coz do not qualify 2 b news papers.
 
1 out of every 5 men who are supporting CCM are Gay.Look at 4 of your CCM friends,if they're straight then its time you come out of the closet.

Teheteheteheteheee!!!

I am back!
Fit and sound!!
 


... na hapa Sisiem ndipo tunawapowashinda akili nyie Chadema akili mgando, mnajilabu kuwa Chadema Chadema tena iweje muunde chama kingine naitabiria kifo Chadema kabla mwaka 2015, then Sisiem kidedea, maana katiba mpya Rais wa Muungano lazima apete 50% kutoka kila upande wa muungano na sisi Zanzibar hatuwapi Chadema so always Sisiem kidedea nyinyi zenu mwenyekiti wa hamlashauri na madiwani.
 
Kijigazeti DHAIFU hakina hoja, kinatumiwa na mafisadi wa magamba ili kuchafua hali ya hewa ndani ya CHADEMA. Kama zilivyoshindwa propaganda za magamba katika kutaka kuonysha kwamba CDM ni chama cha wakristo na wachagga juhudi zao hizi kupitia hiki kijigazeti uchwara zitagonga ukuta.

Walijisahau wakatumia mbinu zile zile walizotumia kukipunguza nguvu CUF kwamba ni chama cha KIISLAM, na kwamba kinachochea vurugu na mauaji (nakumbuka mkuu wa polisi bwana Mahita alionesha visu vyenye rangi ya bendera ya cuf kwamba walijiandaa kufanya mauaji, mpaka leo sijasikia aliepelekwa mahakamani kwa kuhatarisha usalama wa taifa). Hizi siasa za CCM za kuwagawa watu zinatakiwa zilaaniwe, bora hizo za kukigawa chama! CDM kazi kwenu.
 
msajili wa magazeti yuko wapi?kuachia vijarida hivi kuchafua roho za watu na kutufanya tutende dhambi siku ya leo?AAAAAGH!!!
 
Stupid newspaper at work.Hili gazeti mmiliki wake ni Kitwana Kondo
Mkuu, pamoja na kuwa hilo gazeti silipendi na wala sijawahi hata kulishika....lakini ni kweli kunafununu
ya hilo jambo.Binafsi kuna mmoja jana alijitokeza kwenye thread fulani na nikamsoma between the line
na nikahisi huyo nae ni mmoja wao. So kama alivyosema Mkandara kwavile hao wote ni member wa hapa
jamvini let us wait and see labda kunammoja wao atathubu uwazi.
 
Walijisahau wakatumia mbinu zile zile walizotumia kukipunguza nguvu CUF kwamba ni chama cha KIISLAM, na kwamba kinachochea vurugu na mauaji (nakumbuka mkuu wa polisi bwana Mahita alionesha visu vyenye rangi ya bendera ya cuf kwamba walijiandaa kufanya mauaji, mpaka leo sijasikia aliepelekwa mahakamani kwa kuhatarisha usalama wa taifa). Hizi siasa za CCM za kuwagawa watu zinatakiwa zilaaniwe, bora hizo za kukigawa chama! CDM kazi kwenu.

...Kipindi hiki cha kuelekea 2015 vijigazeti kama hivi vinaweza kuibuka kwa wingi ili kuanzisha uzushi wa kila aina dhidi ya CDM na viongozi wake wa juu. Naamini kabisa yule Shibuda atavuna sana toka kwa Viongozi wa juu wa magamba kwa kubwabwaja mambo ya uongo dhidi ya CDM ili kukiharibia chama hicho katika kujizolea Wabunge wengi na pia kuingia Ikulu.

Natumai viongozi wa CDM hawatampa Shibuda nafasi nyingine ya kukidhalilisha chama cha CDM bali watachukua maamuzi muafaka na kumfukuza mara moja huyo mganga njaa.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom