Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

Hapana, bikra ni Kama kigezo tu Cha muoaji.

Ila uaminifu ni suala la ndani kabisa, Tena Lina chagizwa na vitu vingi, Kama msimamo, malezi, na hata lengo la mtu.
 
Awe bikra hapo hapo awe” mzuri” na awe na kazi (Kipato). Ningekuambia kitu ila basi tu.

Ila mnatukoroga sisi ma jobless, jana tu si mmetoka kusema mwanamke mwenye kazi ni mwanaume mwenzenu muoe ambaye hana kazi?

Amehlo tujipange upya sasa
Njoo nikuajiri uwe na vigezo kamili.
 
Back
Top Bottom