Vifaa vya muziki bei nafuu. Gitaa, Effect, Combo na Waya 1 million tu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu.
1. Gitaa la Solo
2. Solo/Rythim gitaa Combo
3. Solo Gitaa Effect Pedal
4. Cable za Jack pins 3 original na jack pin ndogo 1
5. HDMI mpya.
Kwa anaevihitaji tuwasiliane vipo Dar es Salaam Bunju na viko katika hali nzuri sana. Kama unavitaka piga +255768506791.

20240302_172324.jpg
20240302_172431.jpg
20240302_172350.jpg
 
Back
Top Bottom