Vifaa vya cafe vinauzwa na frame yake inakodishwa pia

Naomba nikushauri,,,kwanini usitafute mtu akakusimamia hiyo biashara,,,,mi nimtaalamu wa hayo mambo,,nipe chance nikufanyie kazi then tulipane..
 
Mkuu nashauri uuze hisa ili wadau tuanze kuchoro ya maana na hatimaye uone malengo yako yatimie!! Najua waswahili wanalostisha sana, hawajui kuwa hiyo ni kazi kama kazi zingine!! So please, kama kuna wadau wanaoweza wauzie hisa ili kitu kiendelee...naimani kuna wadau watajitokeza!!
Mkuu naomba unieleweshe zaidi hapo swala la Hisa
 
Naomba nikushauri,,,kwanini usitafute mtu akakusimamia hiyo biashara,,,,mi nimtaalamu wa hayo mambo,,nipe chance nikufanyie kazi then tulipane..
Mku ningeweza kufanya hivo na nishawapata wengi wa hivo ila kwa upande wangu mimi nahitaji pesa na ni muhimu na haraka
 
Mkuu naomba unieleweshe zaidi hapo swala la Hisa
Unaweza kuuza asilimia 40 ya mtaji wako kwa watu unaoona mtafanya hiyo kazi bila kuleteana shida. Hii inafaa kama uko registered kama mfanyabiashara na unajulikana kwenye soko la hisa la dsm which I don't think so. But, kwa kishikaji kishikaji, unawaambia hata jamaa zako unaoaminiana mnapanga hisa moja ina gharama kiasi gani then unawauzia baadhi na mnakubaliana wewe utakuwa nani, na kazi zako ni zipi. Hivyo hivyo na kwao ilimradi kile kinachopatikana mnagawana kulingana na share zenu kwenye hiyo biashara. Mwisho wa siku utajikuta mna mtaji wa kufungua mgahawa mwingine na mwingine na mwingine hatimaye jiji lote linakuwa lenu baadae mikoani. Hii inahitaji nidhamu ya hali juu kufika hapo!!
Naimani utapata mawazo mengine mazuri pia.
 
Ushpta mteja mkuu mm naitaka
Mkuu wateja waliopo hatujamaliza mazungumzo kutokana na sababu kadhaa

Ila tunaweza kuongea mimi na wewe zaidi maana sijapokea hela ya mtu yeyote yule.
nicheck hapa 0653116399
 
1464196789051.jpg
1464196916371.jpg
1464197036549.jpg
 
Unaweza ukatuma na picha ya nje ya fremu? Maana kati ya Aziz Ally hadi kituo cha Mtongani pana fremu nyingi.
PICHA ZA NJE YA FRAME YENYE CAFE

1464258078347.jpg
1464258552037.jpg
 

Attachments

  • 1464258149790.jpg
    1464258149790.jpg
    85 KB · Views: 81
CAFE- a small restaurant selling light meals and drinks
MGAHAWA- Kibanda/banda la kuuza chakula ( hii ndiyo lugha yetu)
hiyo Cafe kawambie wasomi wenzako.
Cafe kwa kiswahili inaitwaje?
Mgahawa kwa kiingereza unaitwaje?
 
siwezi kutoa kiasi ninachoingiza kwa siku maana kila mtu ana utaratibu wake pia siwezi kuuza kwa nusu hasara kwa sababu sijapauza kwa sababu nina shida sana ila napauza kwa sababu kulingana na mda wangu na shughuri nyingine nakosa mda wa kumanage hiyo sehemu mwishowe vitu vinauzika ila mauzo siyaoni. so naona ni bora ni base kwa kitu kimoja kwanza afu nikishajipanga vizuri kumiliki mambo mengi kwa wakati mmoja ntaweza kufungua tena
Unaacha na wafanyakazi au unasepa nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom