Vidonda vinamyima raha hata ya mapenzi

Nashukuruni sana kwa michango yenu ya mawazo na ushauri mbali mbali, yote yamefika mahala panapohitajika na kila lililokwenye uwezo
litafanyiwa kazi. Mungu awabarikie woooote kwa kuguswa kwenu.
 
Mkuu nadhani ilo ni tatizo sugu,linaitwa haemorrhoids. Nami nalijua sana,ila usisumbuke na hospital,its proved kuwa wataalam wanaficha ukweli ata uki google watakueleza. Najua mfano dr.ndile pale mikochen mission hosp. nae ni mtaalam lakini wanatoa pain killer. Naweza kukusaidia kwa kiasi fulani,utapona au kupata nafuu. Tuwasiliane kwa gsana6@gmail.com ndo nkuelekeze!
 
pole sana ndugu. Inawezekana ni ugonjwa unaitwa bawasiri. Utapona mtumaini Mungu. Nenda zahanati moja iko bonanza unashukia banana kwa magari yanayoenda gongo la mboto! Pole sana
 
Nafikiri hio kitu inaitwa PILES. Hii ni vitu vinaota nyuma kwenye sehemu ya kujisaidia na hukua hadi kufikia kutoka damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Cheki details zake hapa:

Piles
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom