English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 355
- 355
hizo ni salamu za ziara ya lema jijini Dar.
ILe safari ya serikali kunamia dodoma imefika kwa sababu Dar itakuwa chungu kwa watawala.
Timing ya ziara ya Mh. Lema Dar ni sawa na striker kuswaga toka kati ya uwanja kuelekea lango pinzani ambalo mabeki, golikipa na forward yote wako matembezi! Wabunge na serikali yote itakuwa Bungeni Dom wakati Mh. Lema akitikisa nyavu zao Dar na Mikoani.