Elections 2010 Video ya ccm kuhusu sera na ilani kuelekea uchaguzi 2010

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,198
Mtaalamu wa Sera CCM - Wilson Mukama anadai
  • Sera Zinatekelezeka ( sio Zakufikirika /Utopia)
  • CCM inawawezesha Watanzania kwa Maarifa (Wakati jukwaani wanasema Elimu bure ni ndoto)
  • CCM inajua wingi wa rasilmali za Tanzania ( wakati huo huo wawekezaji wa nje wanatudanganya mfano sekta ya madini)
  • Elimu na Afya bure CCM inategemea zaidi sekta binafsi ziiboreshe (Fikra mbadala Afya na Elimu ni jukumu la serikali kutokana na wananchi kuwa masikini)
  • CCM kuwawezesha wakulima na watanzania kwa masoko na viwanda vya kusindika (Wakati mazao ya wakulima yanaoza Rukwa, Mbeya na Ruvuma)
Video kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE


Sehemu ya Pili
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom