VIDEO - Wasukuma mikokoteni waogeshwa kwa lazima Kenya

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hii kali jamaa kule Nyeri Kenya wamewalazimisha wasukuma mikokoteni kuoga hadharani maana wanasema ni wachafu hawaogi na hawabadiili nguo. Vijana wa kazi wamefanya operation KUOGA NI LAZIMA kwa kuwaogesha hadharani hao wasukuma mikokoteni...



Hii kwa Bongo itawezekana kweli?
 
Last edited by a moderator:
mbona mbeya mjini hii ni kawaida saana..! wanakupeleka mtoni..! wanakusugua hadi damu..!:becky::becky::becky:
 
Mbona kitu hii ishawahi kufanyika hata Dar es salaam, ilitangazwa TBC mwaka jana, walikuwa kijiweni, wakikaa na wenzao wananuka sana, hivyo wenzao wakaona jukumu la kuwaosha kwa lazima.
 
Back
Top Bottom