Video: Usiku wa kisengeli wa Wema Escape One ni Aibu

We mwenzio kapiga pesa. Hachagui kazi. 10,000×7500. We bado unazungumzia premia ligi. Kampa msaga sumu 2m na Snura 2.5m muna love 2m. Wengine 5 1m. 5m. Ukumbi tarumbeta matangazo na vingine 10m. 65.5m yiko mfukoni kwa siku moja akizunguka mikoa yote pata picha . Mjini msingi kiuno
Million 65 bado unabisha
ndio hesabu za wanawake wa uswahilini hizi..hivi hizo hesabu unazopiga kama ulikuwepo wakati wanagawana..afu umeshau na kodi ya TRA hapo aliwapa ngapi..na VAT ilikuwa shilingi ngapi?
 
Nilipita maeneo ya escape one huo usiku wa kisengeli uwiii hizo nguo za wadada duh aibu niliona mie
 
ndio hesabu za wanawake wa uswahilini hizi..hivi hizo hesabu unazopiga kama ulikuwepo wakati wanagawana..afu umeshau na kodi ya TRA hapo aliwapa ngapi..na VAT ilikuwa shilingi ngapi?
Vyovyote Pay as you earn. Value Added Tax. Pay as you run. Zikkwata hakosi 50 m
 
Ni vizuri kuukubali u-Afrika wetu katika kila Nyanja pamoja na ''utamaduni' wetu maana mpuuza jadi ni mtumwa na haijalishi upo sehemu gani ya dunia wewe endelea kuonesha Uafrika wako.

 
Dah! Hichi kiuno si cha kawaida hata kidogo. :p:p:p
Mh! Amejaliwa mtoto Mwanamke,ila BAK hao wengine wanafaa hivyo hivyo kuwa mabango tu ya maonyesho ukighafilika tu ukasema uoe,utajidanganya madereva mtakuwa wengi na muoaji utakua kama gereji tu gari litahifadhiwa kwako.
 
Sioni mantiki ya majibu yako.. Kwamba kwa sababu ngono inafanyika wazi wazi vichochoroni basi nayo iruhusiwe na serikali kuonyeshwa hadharani runingani sio? Hii tabia ya baadhi ya watu kujifanya manabii uwa inanishangaza sana. Eti sisi wengine tulishasema
Hahahahahahaaetiii manabii wa naonaa mbaliii
 
Kwani hapo ilipofanyika watoto walikuwepo?

Ubantu umo nasi milele, hata ngoma mashuleni wanafunzi wanakatika viuno...kutumbuiza hata siku za kusherekea kumaliza shule..tena wanavikata haswa, mbele ya wazazi na waalimu...na olikuwa furaha bila fikra mbovu. leo eti fyuu sijui fyaaa...mnalazimishwa kufungua hizo video kuangalia...ufeki mwingi umejaa watu sababu ya unini sijui...eti wai sijui wai sijui nini...wamekodi sehemu hawajaja majumbani mwenu kuwachezea watoto wenu...mzazi ukimruhusu mwamao hata mitaani kuangalia ni utajiju wewe na unavyolea...

Utamaduni wa kukata viuno umo ndani yetu, muwaache wanaopenda waburudike, kama uzungu sijui unini pelekeni hukoooo.
Watu hawawezi kutambuaa kituu kimojaa hata hicho kinachofanywa n moja ya tamaduni na baadhi ya jamii kukata mauno imeanza karne hiii tenaa especially wamevaaa mavazi maalumu yanayostiri nyeti zao kama dira na pia muda unaruhusu uck. ....swali huyoo mtt kafata nn maeneoo hayoo....pili kumbukeni duniaa inachange tulandane na utandawazi lakn uctutumikisheeeeeeèe
 
Watz tumezidi unafki. Kukata mauno ni asili yetu. Ina mana mdumange ufungiwe sababu watu wanakata mauno hadharani? Mtutokee hapa na maadili yenu uchwara. Mmezaliwa mmekuta utamaduni uko hivi ubadilishwe kisa nyie ndo mna watoto ama?
Point kabisa hii ni asili yetu
 
Haya mambo, yaacheni tu, mwenye kuliwa kiboga aliwe tu, asiye taka aachane nayo.. mambo ya ndani sana haya
 
Haya mambo, yaacheni tu, mwenye kuliwa kiboga aliwe tu, asiye taka aachane nayo.. mambo ya ndani sana haya
Siku utapogundua mwanao ama nduguyo wa karibu amekumbwa na hilo balaa ndo utaelewa kwanini watu wanalivalia njuga.Lilo sawa kwako laweza lisiwie sawia kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom