Stable lady
Member
- Jun 25, 2016
- 73
- 82
The le mbebeez alikuepo. Uko hapo usiku wavigoma
Duh na huyo mdananda alikuwepo!
Yes in plenty. Tena alienjoy balaa kasalimia. you he is always humbleDuh na huyo mdananda alikuwepo!
hahahahhaha. sasa angalau kazi yke itakua hadharani waziwazi kwmba mkata viuno. endapo kuna show sehem wanamkodi anapata chke anakta viuno. lmfao.Hao wanaokatika ni mashabiki waliojilipia viingilio?
Well, at last wema nae ajipatie kipato halali manake Mie huwa sielewi anafanya nini mjini. Nilifikiri ni muigizaji lakini filamu ya mwisho sijui aliitoa lini
hahahha. kaushiwa haswaaa. inshort hana jipya.Kweli sasa Wema kaishiwa..katoka ligi ya Premium sasa anacheza ligi ligi daraja la tatu Kanda
vyupi vyenyewe vinaonekana vimefubaa.Kucheza cheza chupi nje ,si mkate viuno lakini mmejisitiri ? Mbona kuna mwanadada mmoja kwenye Nyimbo ya Kanda bongoman Billi ,huno analiweza halafu kajisitiri
una pepo.Mh tatzo nikiangaliaga hiz video nashindwa kabisa yan mpaka
USIKU WA KISENGELI! HIVI VIGODOLO VIGODORO WATU KUTIKISA MATAKO SERIKALI ITAKATAZA LINI?
Kwa kweli yaani.
Hii weka mbali na watoto.
Ahsante kwa Burdan mkuu
Kwa kweli.......kukiona tu ni burudani tosha......ila kila kitu ni mazoezi.....hapo ukiamua tu unakuwa na kiuno kama hicho.
Mtoto MashaAllah.Shukrani Angel Nylon kweli hii ni burdani ya hali ya juu, ningejua huyu mrembo anaitwa nani basi video zake zote utube za kiuno kilichojaliwa ni lazima ningeziangalia.
Unanihukumu wakat cjamaliziauna pepo.
Mtoto MashaAllah.
Na nimependa alivoficha uso wake akaacha mambo yake mengine kweupeeee.
Kama ostrich vileee