Video sikiliza maneno ya Nape: Nape sauti ya Kikwete, Ikulu itaweza kumjibu Lema?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
kuna baadhi ya watu
wanaamini kikwete aliteleza au hakumlenga Godbless Lema kwenye hotuba ya yake ya juzi, kuwa mbunge alievuliwa ubunge na mahakama kwa shinikizo la ikulu kuwa ndiyo chanzo cha ukosefu wa amani Arusha hali iliyopelekea kutokufanyika kwa mikutano ya kimataifa mjini Arusha lakini ukirudisha kumbukumbu nyuma Nape ambae ni sauti ya Kikwete aliwahi kusema kesi hiyo watashinda hata kabla ya hukumu ya jaji na hivi karibuni mkuu wa mkoa alimpongeza jaji kwa kutoa huku iliyowafurahisha sana, hivyo ukifatilia mwenendo wa kesi hiyo ni zahri kabisa Ikulu kama alivyo dai Lema na kuthibitishwa na watendaji wa serikali akiwemo kikwete kwenye hotuba yake ya juzi. Na sasa ni wazi maneno aliyoyasema Nape alitumwa na raisi kuutangazia umma kuwa kesi ya Arusha wange shinda, ni wazi mkuu wa mkoa alitumwa na raisi kumshukru jaji kwa kazi waliyompa kuifanya kama walivyotaka maana haiingii akilini kwanini Nape alizungumzia kesi ya Arusha wakati kulikuwa na kesi zaidi ya kumi kipindi hicho tena zikiwa mahakamani .

Tujiulize

  • · Kwanini CCM haitaki kushindwa Arusha maana tunajua tangu mwaka 1995 CCM imekuwa ikiangukia pua na kukimbilia mahakamani au kuchakachua.
  • · Je CCM mtaitawala Arusha kwa mabavu mpaka lini?
  • · Mnadhani Arusha iko tayari kutawaliwa na CCM.....?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la walevi wengi wa madaraka ni kushindwa kuona mbali, wanaamini wana nguvu juu ya kila kitu. Jambo pekee ambalo CCM watafaulu ni kuchelewesha mabadiriko lakini sio kuyazuia. It's a matter of time and soon everything will fall apart.
 
mkuu umesema vyema kabisa lakini bado najiuliza arusha kuna nini mpka kila uchaguzi panga pangua lazima washinde ccm na ikitokea wameshindwa watatumia njia yoyote kuwapora haki wapigakura..
 
Mie tabia ya kuwachanganya watoto kwenye siasa Hilo tu ndilo nalogombeza.. Sijui Kwa nini CCM mko hivyo.. Watoto waacheni wakasome, fanyeni siasa zenu bila kuwa changanya watoto ..
 
Hivi tume ya uchaguzi haijui kuwa arusha kuna kata zaidi ya sita azina madiwani .mbona hawataki kutangaza tarehe ya uchaguzi kwenye hizo kata .au wanajua ccm itashidwa vibaya , nawaomba sana wakazi wa Arusha tudai haki yetu sasa hawa jamaa wamesha tuona sisi ni mabwege sana ndio maana wana ropoka ovyo hovyo.
 
Ama kweli ccm ni kama kupe:
Ng'ombe anachinjwa... kupe hana habari!!!
Ng'ombe anachunwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi inawambwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi ikianza kukauka, kupe ndo anastuka!!!!"

Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!!!
 
Cha ajabu wanakataza siasa vyuoni wakati wao wanaendesha siasa ngazi ya chekechea....
 
Kwendelea kujadili kauli za Nepi nikumpa kichwa na kujiona anagalagaza CHADEMA ni kheri kumwacha apite kama upepo
 
Hivi tume ya uchaguzi haijui kuwa arusha kuna kata zaidi ya sita azina madiwani .mbona hawataki kutangaza tarehe ya uchaguzi kwenye hizo kata .au wanajua ccm itashidwa vibaya , nawaomba sana wakazi wa Arusha tudai haki yetu sasa hawa jamaa wamesha tuona sisi ni mabwege sana ndio maana wana ropoka ovyo hovyo.
Kuna dili inachezwa kati ya madiwani waliofukuzwa na CCM yaani muda uende bila cha maana kufanyika ili chadema waonekane nao hawafai lakini kwa mushangao wa watu wameshitu kia hira za CCM...wale madiwani wamekata rufaa wakita kurudishiwa udiwani uanachama, wakiwa wameandika barua ya kuomba msamaha kwenye baraza la wazee chadema..
 
Bado nape yuko kwenye zama za zidumu fikra za mwenyekiti..Akija kuzinduka naamin ataangua kilio kwani hataamini macho yake wala masikio yake
 
Ama kweli ccm ni kama kupe:
Ng'ombe anachinjwa... kupe hana habari!!!
Ng'ombe anachunwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi inawambwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi ikianza kukauka, kupe ndo anastuka!!!!"

Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!!!

Duh!...
 
Kwendelea kujadili kauli za Nepi nikumpa kichwa na kujiona anagalagaza CHADEMA ni kheri kumwacha apite kama upepo
Mkuu wa nchi anatoa matamko kupitia Nepi, tuliya puuza baadae tunaona mwenyekiti wake anayarudia...nikakumbua aliwahi kusema sauti ya Nape ni sauti yangu( Kikwete)...
 
Back
Top Bottom