Video: Sijawahi kumwona James Mbatia akiwa amekasirika hivi! Kisa? Ni OCD wa Ilala kuzuia kufanyika kikao cha kamati kuu ya NCCR eti ni amri toka juu!

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;

1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yao yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM. Kisheria vikao vya kikatiba vya vyama ni vya ndani, havihitaji kuvitolea taarifa yoyote polisi..!

2. Polisi wakazinyaka taarifa za kikao hicho. OCD wa Ilala kwa maelezo yake kuwa ni "AMRI TOKA JUU", akakizuia kikao hicho..

3. Kuhakikisha hakifanyiki, OCD huyu akakusanya na kutuma lundo la askari wenye bunduki, Magari ya deraya, mabomu ya machozi na kuzingira ukumbi huo. Wakawatisha wamiliki wa ukumbi huo kuwa, kwa usalamà wao, ole wao waruhusu NCCR MAGEUZI wafanye kikao chao hapo..!

3. Uongozi wa chama ukafanya juhudi zote kuwasiliana na uongozi wa jeshi la polisi ili kujua kulikoni mambo haya kwenda hivi...

Sasa cheki kilichotokea na ambacho ndicho hasa kiini au chanzo cha ugaidi Tanzania...

Wakawasiliana na;

å OCD wa Ilala aitwaye Deborah kwa simu, lakini hakupokea simu wala kujibu text msg...!!

Sasa assume angekuwa anapewa taarifa za "gaidi" Hamza halafu kamanda hapokei simu, ingekuwaje...?

å Naye RPC wa kanda maalumu ya DSM Afande Muliro akapigiwa simu lakini naye hakupokea simu ya James Mbatia wala kujibu text msg zake...!!

Pia hebu tu - assume angekuwa anapewa taarifa za ugaidi ubalozi wa USA, ingekuwaje eti...?

å Naye IGP Simon Sirro alipigiwa simu, lakini kama wengine hakupokea simu wala kujibu text msg za James Mbatia...!!

Sasa assume, angekuwa anapewa taarifa kuwa Central Police Station na Ikulu inataka kulipuliwa na mabomu, ingekuwaje eti...?

å Waziri wa mambo ya ndani Ndg Simbachawene ndiye alipokea simu ya James Mbatia. Kwa mshangao akasema hajui lolote kuhusu hilo wala hajaagiza hilo...!! Akaahidi kulitatua mara moja. Tangu asubuhi hadi saa 7 mchana alikuwa hajatatua lolote...!!

SASA HEBU ENDELEA KUFIKIRI KIDOGO TU;

Kuwa, hawa polisi kinyume cha taratibu na sheria kabisa;

å Wanazuia kikao halali cha kikatiba cha chama cha siasa halali BILA SABABU YOYOTE...

å Maafisa wakubwa Wa polisi, wanatoa amri za kijinga zilizo kinyume cha sheria kwa polisi wadogo ambao kazi yao ni kutii amri tu, kisha wakawapa silaha; bunduki, mabomu ili wapambane na raia walio kwenye shughuli zao halali na wasio kuwa na kosa lolote...

å Baada ya hapo, hawa maafisa wa ngazi za juu [watoa amri kwa askari wadogo] wa TanPol, wakakata mawasiliano yao kwa kuzima simu zao kabisa na wao wenye kujificha..!!

Hii unadhani maana yake ni nini? Je, huu siyo ugaidi wenyewe halisi..?

4. Sasa bwana, M/kiti wa NCCR Mageuzi ndugu James Francis Mbatia, hapa amekasirika kweli kweli.

Honestly, mimi sijawahi kumwona huyu mzee na hasira za namna kiasi cha kutamka maneno magumu kiasi kile...!!
 
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;

1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI chama cha siasa halali kisheria kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM. Tukumbuke kuwa, kisheria vikao vya kikatiba vya vyama ni vya ndani, havihitaji kuvitolea taarifa yoyote polisi..!

2. Polisi wakazinyaka taarifa za kikao hicho. OCD wa Ilala kwa maelezo yake kuwa ni "AMRI TOKA JUU", akakizuia kikao hicho..

3. Kuhakikisha hakifanyiki, OCD huyu akakusanya na kutuma lundo la askari wenye bunduki, Magari ya deraya, mabomu ya machozi na kuzingira ukumbi huo. Wakamtishia wamiliki wa ukumbi huo kuwa, kwa usalamà wao ni ole kwao kuruhusu NCCR MAGEUZI wafanye kikao chao hapo..!

3. Uongozi wa chama ukafanya juhudi zote kuwasiliana na uongozi wa jeshi la polisi ili kujua kulikoni mambo haya kwenda hivi...

Sasa cheki kilichotokea na ndo kiini cha tatizo la ugaidi Tanzania...

Wakawasiliana na;

å OCD wa Ilala aitwaye Deborah, hakupokea simu wala kujibu text msg...!!

Sasa assume angekuwa anapewa taarifa za "gaidi" Hamza halafu kamanda hapokei simu, ingekuwaje...?

å RPC wa kanda maalumu ya DSM Afande Muliro, naye hakupokea simu ya James Mbatia wala kujibu text msg zake...!!

Pia hebu tu - assume angekuwa anapewa taarifa za ugaidi ubalozi wa USA, ingekuwaje eti...?

å IGP Simon Sirro naye hakupokea simu wala kujibu text msg za James Mbatia...!!

Sasa assume, angekuwa anapewa taarifa za gaidi fulani ametega mabomu ya kulipua Central Police Station na Ikulu, ingekuwaje eti...?

å Waziri wa mambo ya ndani ndiye alipokea simu ya James Mbatia. Kwa mshangao akasema hajui lolote kuhusu hilo wala hajaagiza hilo...!! Akaahidi kulitatua mara moja. Tangu asubuhi hadi saa 7 mchana alikuwa hajatatua lolote...!!
View attachment 1913110

SASA HEBU FIKIRI KIDOGO TU;

Hawa polisi kinyume cha taratibu na sheria kabisa;

å Wanazuia kikao halali cha kikatiba cha chama cha siasa halali BILA SABABU YOYOTE...

å Wanaamuru polisi wadogo wenye kufuata amri tu, wanawapa silaha; bunduki, mabomu na kuwataka wapandane na raia hawa walio kwenye shughuli zao halali na wasio kuwa na kosa lolote...

å Baada ya hapo, hawa maafisa wa ngazi za juu [watoa amri kwa askari wadogo] wa TanPol wakakata mawasiliano yao kwa kuzima simu zao kabisa na wao wenye kujificha..!!

Huyu ni kibaraka wao ambaye waliwahi kumpa ubunge wa kuteuliwa. Hakujua kuwa kuna kula na kulipa.
 
Sema wangeambiwa Chadema wamekuja kusali, viongozi wote wa polisi wangefika mara moja wakiwa wamebeba bendera nyekundu na vipaza sauti.
 
8860003675.jpg
 
Usimlaumu yeyote anayeyasababisha ni Sammy,. These are acting on the instructions of sammy
Pole Mbatia lakini wanapofanyiwa Mbowe mnakaa kimya kuwa hayawahusu, leo ni nyinyi. Lisu alisema wakimaliza kwetu wanakuja kwenu. sasa tuwe kit kimoja kupinga udhalimu
 
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;

1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI chama cha siasa halali kisheria kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM. Tukumbuke kuwa, kisheria vikao vya kikatiba vya vyama ni vya ndani, havihitaji kuvitolea taarifa yoyote polisi..!

2. Polisi wakazinyaka taarifa za kikao hicho. OCD wa Ilala kwa maelezo yake kuwa ni "AMRI TOKA JUU", akakizuia kikao hicho..

3. Kuhakikisha hakifanyiki, OCD huyu akakusanya na kutuma lundo la askari wenye bunduki, Magari ya deraya, mabomu ya machozi na kuzingira ukumbi huo. Wakamtishia wamiliki wa ukumbi huo kuwa, kwa usalamà wao ni ole kwao kuruhusu NCCR MAGEUZI wafanye kikao chao hapo..!

3. Uongozi wa chama ukafanya juhudi zote kuwasiliana na uongozi wa jeshi la polisi ili kujua kulikoni mambo haya kwenda hivi...

Sasa cheki kilichotokea na ndo kiini cha tatizo la ugaidi Tanzania...

Wakawasiliana na;

å OCD wa Ilala aitwaye Deborah, hakupokea simu wala kujibu text msg...!!

Sasa assume angekuwa anapewa taarifa za "gaidi" Hamza halafu kamanda hapokei simu, ingekuwaje...?

å RPC wa kanda maalumu ya DSM Afande Muliro, naye hakupokea simu ya James Mbatia wala kujibu text msg zake...!!

Pia hebu tu - assume angekuwa anapewa taarifa za ugaidi ubalozi wa USA, ingekuwaje eti...?

å IGP Simon Sirro naye hakupokea simu wala kujibu text msg za James Mbatia...!!

Sasa assume, angekuwa anapewa taarifa za gaidi fulani ametega mabomu ya kulipua Central Police Station na Ikulu, ingekuwaje eti...?

å Waziri wa mambo ya ndani ndiye alipokea simu ya James Mbatia. Kwa mshangao akasema hajui lolote kuhusu hilo wala hajaagiza hilo...!! Akaahidi kulitatua mara moja. Tangu asubuhi hadi saa 7 mchana alikuwa hajatatua lolote...!!
View attachment 1913110

SASA HEBU FIKIRI KIDOGO TU;

Hawa polisi kinyume cha taratibu na sheria kabisa;

å Wanazuia kikao halali cha kikatiba cha chama cha siasa halali BILA SABABU YOYOTE...

å Wanaamuru polisi wadogo wenye kufuata amri tu, wanawapa silaha; bunduki, mabomu na kuwataka wapandane na raia hawa walio kwenye shughuli zao halali na wasio kuwa na kosa lolote...

å Baada ya hapo, hawa maafisa wa ngazi za juu [watoa amri kwa askari wadogo] wa TanPol wakakata mawasiliano yao kwa kuzima simu zao kabisa na wao wenye kujificha..!!

Hii unadhani maana yake ni nini? Je, huu siyo ugaidi wenyewe halisi..?

4. Sasa bwana, M/kiti wa NCCR Mageuzi ndugu James Francis Mbatia, hapa amekasirika kweli kweli.

Honestly, mimi sijawahi kumwona huyu mzee na hasira za namna kiasi cha kutamka maneno magumu kiasi kile...!!
Binafsi sijawahi kumuamini Mbatia katika upinzani wa kweli! Najua na nina ushuhuda kibao tu akijifanya mwema kwa wapinzani wenzie lakini baada ya hapo anawasaliti...siyo mara moja wala mara mbili nimeona akiwasaliti wapinzani ambao kwakiasi kikubwa sana walikua wakimuamini na kumpa siri za ndani hasa kipindi cha kwanza cha mwendazake! Kama kweli wamemfanyia hivyo kweli anastahili! Ni haki yake kabisa!
 
Sjawahi ona mtu mjinga kama huyu mkurya, ni mpuuzi halafu kama taahira,
Ameponea enzi za kichaa sasa hatakwepa laana ya mungu sheitwaaaaaaani huyu
 
Hakuna polic tz ni manyang'ao tu, huyu ziro ni ziro haswaaaaa.
Ni gaidi no moja huyu
 
Wala hili siyo jambo la kustaajabisha sana. Wandelee kufanya mioyo yao kuwa migumu tutaelewana huko tuendako. Sikio la kufa halisikii dawa. Nilikuwa na wabunge wa chama cha mapinduzi sehemu nao walionekana kupingana na kinachoendelea kwenye siasa ya nchi yetu. Wabunge hao katika mjadala wao walisikika wakisema siasa hazina ladha tena. ......."haya mambo yakiendelea hivi siasa itakosa ladha na huenda wananchi wakazinduka na kutupinga kwa nguvu....".
 
Binafsi sijawahi kumuamini Mbatia katika upinzani wa kweli! Najua na nina ushuhuda kibao tu akijifanya mwema kwa wapinzani wenzie lakini baada ya hapo anawasaliti...siyo mara moja wala mara mbili nimeona akiwasaliti wapinzani ambao kwakiasi kikubwa sana walikua wakimuamini na kumpa siri za ndani hasa kipindi cha kwanza cha mwendazake! Kama kweli wamemfanyia hivyo kweli anastahili! Ni haki yake kabisa!
Hao wapinzani unawakusudia akina nani maana nchi hii hakuna chama ambacho hakijapewa tuhuma za kuwa wanafki na kwamba hutumika na ccm isipokuwa chadema tu.
 
Hebu kila mtu ajaribu kufikiri na kutafakari haya;

1. Leo tarehe 28/8/2021 NCCR MAGEUZI chama cha siasa halali kisheria kilikuwa na kikao cha ndani cha kamati kuu yenye wajumbe 30 tu katika ukumbi wa Msimbazi Centre, DSM. Tukumbuke kuwa, kisheria vikao vya kikatiba vya vyama ni vya ndani, havihitaji kuvitolea taarifa yoyote polisi..!

2. Polisi wakazinyaka taarifa za kikao hicho. OCD wa Ilala kwa maelezo yake kuwa ni "AMRI TOKA JUU", akakizuia kikao hicho..

3. Kuhakikisha hakifanyiki, OCD huyu akakusanya na kutuma lundo la askari wenye bunduki, Magari ya deraya, mabomu ya machozi na kuzingira ukumbi huo. Wakamtishia wamiliki wa ukumbi huo kuwa, kwa usalamà wao ni ole kwao kuruhusu NCCR MAGEUZI wafanye kikao chao hapo..!

3. Uongozi wa chama ukafanya juhudi zote kuwasiliana na uongozi wa jeshi la polisi ili kujua kulikoni mambo haya kwenda hivi...

Sasa cheki kilichotokea na ndo kiini cha tatizo la ugaidi Tanzania...

Wakawasiliana na;

å OCD wa Ilala aitwaye Deborah, hakupokea simu wala kujibu text msg...!!

Sasa assume angekuwa anapewa taarifa za "gaidi" Hamza halafu kamanda hapokei simu, ingekuwaje...?

å RPC wa kanda maalumu ya DSM Afande Muliro, naye hakupokea simu ya James Mbatia wala kujibu text msg zake...!!

Pia hebu tu - assume angekuwa anapewa taarifa za ugaidi ubalozi wa USA, ingekuwaje eti...?

å IGP Simon Sirro naye hakupokea simu wala kujibu text msg za James Mbatia...!!

Sasa assume, angekuwa anapewa taarifa za gaidi fulani ametega mabomu ya kulipua Central Police Station na Ikulu, ingekuwaje eti...?

å Waziri wa mambo ya ndani ndiye alipokea simu ya James Mbatia. Kwa mshangao akasema hajui lolote kuhusu hilo wala hajaagiza hilo...!! Akaahidi kulitatua mara moja. Tangu asubuhi hadi saa 7 mchana alikuwa hajatatua lolote...!!
View attachment 1913110

SASA HEBU FIKIRI KIDOGO TU;

Hawa polisi kinyume cha taratibu na sheria kabisa;

å Wanazuia kikao halali cha kikatiba cha chama cha siasa halali BILA SABABU YOYOTE...

å Wanaamuru polisi wadogo wenye kufuata amri tu, wanawapa silaha; bunduki, mabomu na kuwataka wapandane na raia hawa walio kwenye shughuli zao halali na wasio kuwa na kosa lolote...

å Baada ya hapo, hawa maafisa wa ngazi za juu [watoa amri kwa askari wadogo] wa TanPol wakakata mawasiliano yao kwa kuzima simu zao kabisa na wao wenye kujificha..!!

Hii unadhani maana yake ni nini? Je, huu siyo ugaidi wenyewe halisi..?

4. Sasa bwana, M/kiti wa NCCR Mageuzi ndugu James Francis Mbatia, hapa amekasirika kweli kweli.

Honestly, mimi sijawahi kumwona huyu mzee na hasira za namna kiasi cha kutamka maneno magumu kiasi kile...!!
Tatizo hawa kina mbatia wanafikiri wana nguvu sana huku hawana madaraka yoyote. Wameagizwa watoe taarifa hata kwa mikutano ya ndani ila wamedharau halafu anatunisha misulu bure. Sasa analazimisha mbowe aachiwe wakati kesi iko mahakamani? Asitishe watu chuki wanayo wao wengine wapo pamoja wala hawamuogopi mtu.
 
Back
Top Bottom