Video: Sanamu la msanii Take off latengenezwa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao.

Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na msanii huyo ambae aliuwawa kwenye shambulio la risasi huko Houston Texas nchi Marekani.

ANGALIA VIDEO HAPA


Written by Mjanja M1
 
Huyu apewe tenda tuchongewe baba wa taifa mpya yule wa kimgwangala apumzike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom