Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Miaka ileeeee ya zama za kale, pombe ilikuwa inatumika kama dawa ya ganzi au nusu kaputi. Ili kufanyiwa upasuaji au kung'olewa jino, watu walikuwa unayeshwa pombe kwanza na kulewa ndio asisikie maumivu.

Je, hakuna uhusiano wa kunywa pombe na kumjeruhi mwenyekiti kwa makusudi ili kujenga hoja ndani ya chama?

Ni swali tu kama maswali mengine..
 
Mabeberu hukolezwa na wananchi wenyewe ndio wafanye Yao!

Sasa wananchi wataanzaje kufanya vikolezo ili Hali wanasiasa wenyewe wanawaongopea wananchi wao?

Wanafanya matukio ya uwongo
 
Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza
View attachment 1474348
Mtahangaika sana, haya sio maelezo ya awali, maelezo ya awali ameanza na "Inadaiwa" (kwa mujibu wa waliotoa taarifa) ameshambuliwa. "Tunafanyia uchunguzi..." Subirini uchunguzi mtasafishwa tu!!

Kwa imani hiyo hiyo mliyonayo juu taarifa yake, muamini pia na maelezo yake kuwa " Tukio hili ni la kawaida si la kisiasa" maana zote ni taarifa zake.
 
Mabeberu hukolezwa na wananchi wenyewe ndio wafanye Yao!

Sasa wananchi wataanzaje kufanya vikolezo ili Hali wanasiasa wenyewe wanawaongopea wananchi wao?

Wanafanya matukio ya uwongo
 
Lijualikali na baba mkwe wake wameumbuka!! Aisee!!
Anachojitengenezea Ndugai ni aibu kubwa kwa familia yake , juzi alikataliwa kwao na wananchi mbele ya ubongo wake

FB_IMG_1591781918549.jpg
 
Back
Top Bottom