Akijibu swali la Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Tumaini TV wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari Makao Makuu ya CHADEMA leo Mh. Benson Kigaila Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda amesema Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA waliopo ruksa kugombea kwa mujibu wa Katiba iliyopo.
Last edited by a moderator: