Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,800
48,772
Hawa wanaisha hadi basi tu....

An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday.

The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza.

Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the military arm of Hamas. He also took part in the smuggling of weapons from various countries into the Gaza Strip and the West Bank.

The assassination by fighter jet of Hassan Atresh, responsible for the trade, production and equipping of the military arm of Hamas, December 23, 2023. Credit: IDF Spokesperson
 
Kwani Hamas Wana wakubwa wangapi?, Kila siku nasikia kauwawa!!

Kuna kitu kinaitwa muundo wa uongozi, au "organizational structure"

15f7620324f943d5c961cd472e10f163
 
Kesho usije tena kusema mkuu wa Hamas kauliwa maana kila siku wanauliwa 😅😅hawaishi.

Pia kesho tusisikie kwamba wamekomboa mateka ,ulishasema mateko wote 200 wamekombolewa.
 
Kesho usije tena kusema mkuu wa Hamas kauliwa maana kila siku wanauliwa hawaishi.

Pia kesho tusisikie kwamba wamekomboa mateka ,ulishasema mateko wote 200 wamekombolewa.
wana ccmu akili zenu huwaumbua , kuna taasisi ina kiongoz mmoja mbali na ccmu ? unataka kusema Yahya Sinwar ndo anahusika kukusanya mapato , yeye pia ndo mkuu wa kusimamia mafunzo ,yeye pia ndo msimamiaji wa biashara za silaha , yeye pia ndo mkuu muendesha propaganda ,Ccmu tu ndo Ssh yupo kila sehem anataka aonekane yeye hata kwenye mradi wa maji ya kisima
 
Chadomo mbona mnatawaliwa na mtu mmoja miaka yote ...Mbowe ndio mtawala cha undugu nyie wafute vumbi hamjui chochote kazi kumtajirisha mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom