VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

Duh Mkuu wa Mkoa Kiburi! Hizi semina elekezi vipi kuna watu walienda haneymoon badala ya kufuata maelekezo ya Uongozi Bora? Swala kama hili huwezi kulichukulia personal hata siku moja! Jamaa kakwazwa live alitaka kusujudiwa na mtu kama huyu ni hatari kwelikweli akiwa Raisi hafai popote. Mkuu wa mkoa ni nafasi inayohitaji busara na hekima za hali ya juu, pamoja na kupata somo kwa h Lema, bado hakulisoma kasimamia ushabiki na jazba! Hebu ngoja nione kama atabaki muda gani katika nafasi na mkoa huo. Ninavyoamini mkoa sensitive kama Arusha hauhitaji mtu asiyekuwa sensitive kama huyu, kama hao wangekuwa ni wananchi na wanataka kuongea nae, Arusha si ndo pasingekalika, yangerudia mautumbo yaleyale.

Poleni wanafunzi kwa msiba na shuluba hii!

Poleni ambao hamkuona, nunueni moderm zenye speed sio bei rahisi.
Yaani hadi inaudhi kuwa na kiongozi kama huyu hajui hata anachokifanya, yaani hajitambui hata alifanyalo sasa kusema kua hakuna kipaza sauti hawezi kuongea na wanafunzi kwani mbunge alikua anatumia nini. Hii ndio type ya watu waliokariri namna ya utendaji kazi hawajui hata kutumia mbinu mbadala. Sijui kwanini yupo madarakani hadi sasa, mtu akisema anaambiwa ni mpinzani jamani hata mambo yaliyo bayana tusihoji kisa tutaambiwa wapinzani. Nanyi maaskari kwanini mnafanya hivi hebu waoneeni huruma binadamu wenzenu msitumie jazba kumbukeni mambo haya yanamwisho. Muda ukifika haki itakaposimama mtaona mnaonewa pale mtakapokua mnapelekwa mbele ya sheria ndugu zangu. Mbona mnaweza tu kutuliza fujo kistaarabu sio lazima kutumia mabavu acheni hizo bwana.
 
Wenzako wote video haifunguki wewe umeibuka na kutema kauli zako tata!! na mapovu tu humu. Au umetumwa? Mbona hueleweki? Kuwa serious ndugu acha uongo..Huku ni kwa Magreat thinker. Uongo peleka facebook sio humu..Au wewe una link yako nyumbani.?

Usimhukumu, video inafunguka bila shida.
 
Mkuu umeisikiliza vizuri hiyo video? Sina tatizo na aliyosema mwanzoni, na kama angeishia na hayo tu, tusingekuwa kwenye mjadala huu hivi sasa. Lakini kitendo cha kusimama tena na kuwaambia wanafunzi kwamba mkuu wa mkoa amesema hawezi kusema hadi apate kipaza sauti, hawezi kuongea na watu wasio na adabu. Hayo yalikuwa ni maneno ya uchochezi. Kwani angenyamaza ingekuwaje? Hapa Lema amekosa busara, na wanaomtetea hawana busara kama yeye. Hata hivyo siungi mkono uamuzi wa polisi kumvamia nyumbani usiku.

mkuu lukolo hayo maneno aliyoyasema lema ilikuwa kwa niaba ya mkuu wa mkoa si ndiyo?au alimpakazia?busara ya lema kutoyasema ingeenda sambamba na busara ya magesa kutokuyasema
 
Hata ile picha ya mwangosi isingekuwepo, Chadema wangebebeshwa mzigo wa kuua kwa kutumia kitu kizito chenye ncha kali.
 
Inafunguka vyema video hiyo maana nimeifungua bila matatizo. Yawezakuwa net zenu ziko down ndio maana zinagoma. Kwa hapa nimetumia airtel na nzantel
 
Nimesikiliza na kuangalia both videos!....Muh Lema na Mkuu wa Mkoa. My analysis: Lema hajaongea neno lolote baya zaidi ya kuwa advise wanafunzi kutokuandamana na badala yake wadai haki yao ya msingi kwa busara zaidi. Sijasikia neno la uchochezi hata moja. Ningekuwa mkuu wa Mkoa, ningekuwa na Lema kwa karibu zaidi na kutoa ushirikiano wa nguvu ili kuweza kusolve tatizo lililojitokeza. My analysis kwa upande wa mkuu wa Mkoa ni kwamba, alionekana kapanic na kuwa na hasira sana na ndio maana alishindwa kuongea. Alikuwa pia anatumia ubabe. That wasn't the right way to tackle the problem. Ni vyema tukajifunza ''Conflict management'' hasa viongozi wote na hilo litasaidia kupata right approaches to problems. yangu hayo
 
Kwa hiyo kavunja sheria gani? mkuu wa mkoa halipwi kwa kodi zetu? Tanzania ipo hivyo kwa sababu ya watu kama wewe. Ukiona watu wananyamaza hili mkuu wa mkoa aongee, basi hao watu wanamweshimu. Huyu hastahili heshima. Hata kwenye familia zetu, watu wa kiburi huwa hatuwaheshimu. Huwezi kulazimisha kuheshimiwa, mwishowe utajiamkia. Huu ni utamaduni na wala sio sheria kama unavyodhania.

Kwa watu wa Arusha wenye mapenzi mema na mji wao na Taifa lao, hili swala mnaweza kulimaliza wenyewe bila JK wala kupigiwa kelele. Akikamatwa Lema tu, liingizeni jeshi la polisi hasara ya mamillion. Gonga gari zao, warushie mawe, choma moto vituo vyao. nendeni kwa mkuu wa mkoa, tafuta familia yake na watoto wake, choma nyumba moto. Akija sokoni mrushieni mawe. Afu mtaona kama watadhubutu tena.

Nchi yetu inapitia kwenye kipindi kigumu sasa hivi. JK sasa hivi yupo busy anagoogle safari ya kesho.
watakufa wangapi sasa,maana naona kama unachochea machafuko.
 
Nimesikiliza na kuangalia both videos!....Muh Lema na Mkuu wa Mkoa. My analysis: Lema hajaongea neno lolote baya zaidi ya kuwa advise wanafunzi kutokuandamana na badala yake wadai haki yao ya msingi kwa busara zaidi. Sijasikia neno la uchochezi hata moja. Ningekuwa mkuu wa Mkoa, ningekuwa na Lema kwa karibu zaidi na kutoa ushirikiano wa nguvu ili kuweza kusolve tatizo lililojitokeza. My analysis kwa upande wa mkuu wa Mkoa ni kwamba, alionekana kapanic na kuwa na hasira sana na ndio maana alishindwa kuongea. Alikuwa pia anatumia ubabe. That wasn't the right way to tackle the problem. Ni vyema tukajifunza ''Conflict management'' hasa viongozi wote na hilo litasaidia kupata right approaches to problems. yangu hayo
hivi umeona kipindi lema anawahutubia hao wanafunzi.?
 
Back
Top Bottom