Mkuu, angalia tena video ya mwanachama kwa utulivu utelewa.Hii jf mpya mimi sijui hata nikitaka kum PM mtu naanzia wapi?
Tembelea sehemu imeandikwa NEW POSTS, au bonyeza hii link Recent Posts | JamiiForums | The Home of Great ThinkersNi wapi naweza kuona post mpya? Kila nikiingia naona post za zamani. Naomba msaada
Tembelea Search Results | JamiiForums | The Home of Great ThinkersMkuu Melo nawezaje kuona thread zangu zote
Nielekeze kiongizi
Wakuu,
Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.
Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).
Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:
.........
Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.
Aidha, ni vema kusoma topic hizi:
The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...
Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?
na
JamiiForums Rules