Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,068
40,732
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio waende wakawape binadamu huko Ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.

SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!


=====================================

Update: 09/04/20
Wakongo watishia kumuua Jean- Jacques Muyembe kwa tuhuma za usaliti wa kuruhusu chanjo ya Corona nchini Kongo, aomba msamaha kwenye TV ya taifa kwa kuogopa kuuwawa.
 
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi, ili sasa wakishaijua ipi ni effective ndio warnde wakawape binadamu huko ulaya, yaani sisi ni panya na wao ndio binadamu.

SERIKALI ISIKUBALI UTAFITI WA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU KUJA KUFANYIKA TANZANIA, NA
TUSIKUBALI CHANJO YA AINA YEYOTE TOKA KWA WAZUNGU!


Haya ninyi ambao kila kukicha mnatetemekea wazungu na mitazamo yenu ya kitumwa mkiongozwa Tundi Lisu, Zito na Mbowe, mmesikia mabwana zenu wanavyowawazia eeh!
Wazungu hawajawahi kutuchukulia sisi weusi kama binadamu wenzao...na kwa bahati mbaya weusi wenzentu wenye mitazamo ya kitumwa ndio wamekuwa wakitusaliti na kutuletea matatizo yote!
 
Back
Top Bottom