Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.

Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏

20221114_220741.jpg
 
Kaka JUMA JUMA,vijana wa Kawe bado tunasubiri safari ya kwenda Uingereza tuliyoahidiwa na Mh.Gwajima wakati wa Kampenimaana uliongoza kuanzisha nyuzi humu JF kumpigia debe Gwajima pamoja na safari hiyo kwa sisi vijana wa Kawe tukimchagua Mchungaji Gwajima,UUNGWANA NI VITENDO,timizeni Ahadi tafadhali
 
😁😁😁😁😁🙄
 
Nimekuweka kiporo... Hahaha
 
CHAWA HUYO HANA LOLOTE
 
Juma juma akikujibu nishtue
Sawa nitakushtua,wahuni kama hawa si wakuwa-entertain hata kidogonikikumbuka nyuzi zake 2020 kabla ya Uchaguzi kwamba Mchungaji Gwajima ndie Mkombozi wa Vijana Jimbo la Kawe na kwamba tumchague atupele Nchi ya Ahadi na mpaka leo tunaingia 2023 kimya nabaki kinywa wazi
 
Kaka JUMA JUMA,vijana wa Kawe bado tunasubiri safari ya kwenda Uingereza tuliyoahidiwa na Mh.Gwajima wakati wa Kampenimaana uliongoza kuanzisha nyuzi humu JF kumpigia debe Gwajima pamoja na safari hiyo kwa sisi vijana wa Kawe tukimchagua Mchungaji Gwajima,UUNGWANA NI VITENDO,timizeni Ahadi tafadhali
Nimekuweka kiporo... Hahaha
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.

Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏

View attachment 2416849
Dada yupo vizuri sana huyu.. UVCCM TAIFA wamepata mtu sahihi sana kama wajumbe wakimchagua kwa kura nyingi Sina shaka naye kabisa
 
Nimekuweka kiporo... Hahaha

Dada yupo vizuri sana huyu.. UVCCM TAIFA wamepata mtu sahihi sana kama wajumbe wakimchagua kwa kura nyingi Sina shaka naye kabisa
jibu hoja kuhusu Mchungaji Gwajima,nae ulimpamba hivyo hivyo kwamba ni Mbunge sahihi na atatupeleka vijana Uingereza,vipi tena kimya miaka 3 sasa na hauanzishi tena nyuzi za kumtukuza!!!acha uhuni
 
Kaka JUMA JUMA,vijana wa Kawe bado tunasubiri safari ya kwenda Uingereza tuliyoahidiwa na Mh.Gwajima wakati wa Kampenimaana uliongoza kuanzisha nyuzi humu JF kumpigia debe Gwajima pamoja na safari hiyo kwa sisi vijana wa Kawe tukimchagua Mchungaji Gwajima,UUNGWANA NI VITENDO,timizeni Ahadi tafadhali
mtu aliye danganya dunia kwamba anfufua watu (gwajima) akaja kudanganya kwamba atakupeleka marekani? si akawafufue watu pale lugalo kwanza? gwajima ni muongo hata kwa muonekano tu
 
Victoria apewe Kura za Ndio

lulu mpya Umoja Wa - Vijana

" Always learning and always sharing what I have learned - purpose of acquiring knowledge for it to be beneficial to everyone " Victoria Mwanziva 2017

25 mei 2022 Baraza Kuu la Umoja Wa Vijana ( Uvccm ) Taifa lilipo mthibitisha Cde ' Victoria C . Mwanziva Kuwa Katibu Wa Uhamasishaji na chipukizi Uvccm Taifa nilijisemea moyoni Uvccm wamelamba dume

Ingizo Sahihi na Wakati Sahihi , ninamfahamu Kiongozi huyu , Kwa namna alivyo na Wivu na Mahaba Kwa CCM nikajua ana kwenda kuleta radha Tofauti pale makao Makuu Ya Uvccm , nathubutu Kusema kongole Uvccm Kwa namna mlivyo litendea haki pendekezo la Halmashauri Kuu Ya Chama Chetu Taifa na matunda tumeyaona

Kiongozi Victoria aliingia na spirit Ileile tunayoifahamu toka kwake ya kuunganisha Vijana Nchini na Kusaka Kila fursa inayojitokeza Ndani na Nje ya Nchi Kwa ajili ya Vijana Wa Tanzania ikiwamo Fursa za mafunzo ( scholarships )

Na kwa Mwaka Huu 2022 akisaidia Kundi kubwa la Vijana Kupata mafunzo ya Uongozi katika Usimamizi Wa Umma ( leadership in public management ) , uongozi Katika Biashara ( leadership in business management ) na Uongozi katika Jamii ( leadership in civic engagement ) Yanayotolewa na YALI Mandela Washington fellowship yaliyofayika Minessota Marekani , Chini Ya Usimamizi Wa Department of state of America

Kama ni kuvaa viatu Vya Muhamasa aliye tangulia Mhe. Jokate Urban Mwegelo Ambaye Sasa Ni DC Temeke Ndg Victoria anatosha ametutendea Haki Vijana Wenzie

Lengo la makala Hii si kuzungumzia Sana nafasi yake Hii ya Hamasa Msomi Huyu Wa Shahada ya Uzamili ambaye kwake kujitoa Kwa Jambo la CCM hakuna mjadala Bali ni kumuombea Kura Nyingi Za Ndio Baada ya Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu Ya CCM ( CC ) kupendekeza Jina lake Kwa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa ( NEC ) ambayo pia Imempitisha Kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Wa Uvccm Taifa 2022 - 2027

Akiwa masomoni Nchini China Comrade Victoria hakuacha tabia yake ya kujifunza mambo mbalimbali Nje ya darasa ambayo pia uyaleta Mbele ya Umma ( public platforms ) Kwa manufaa ya Vijana Nchini Bila kujali gharama za nauli kwenda Katika midahalo mbali na Chuo Cha Institute of technology *Beijing China, ukiwamo Ule ulioudhuriwa na Billionea JACK MA Wa Global young leaders youth summit Uliofanyika Jimbo la Hangzhou Zhejiang chin ya Udhamini Wa Alibaba foundation na general association of Zhejiang entrepreneurs

Ni Ndugu Mwanziva aliye saidia ( connections ) Vijana Nchini Kupata Fursa za mafunzo Seoul Nchini Korea , na Fursa Nyingine Nyingi ikiwamo Ile ya Sadc Youth forum : climate change Youth envoy , amekuwa msaada Wa Kulea Vijana Wenzie na kuwapa mwelekeo ( Coaching and mentoring ) Cde Victoria atatufaa

Naomba Kura Kwa Gwiji Huyu Wa Uvccm Mwenye Uwezo Wa kuzungumza lugha Zaidi ya Tano ikiwamo Kichina , Kiingereza na Kiswahili ambaye alipokua Katika masomo ya Shahada yake ya Kwanza Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam alikua Kiongozi wa Vijana Chini Ya - Youth United Nations Association UDSM chapter Akishiriki Tafiti Nyingi Kwa Msaada Wa REDET kujua Nini ni Mahitaji Muhimu Kwa Viongozi Vijana Afrika

Victoria Anatosha Wajumbe Tunawategemea

Mwangoka Deogratius - Mwana CCM Rungwe
 
Attachments

  • IMG-20221115-WA0403.jpg
    IMG-20221115-WA0403.jpg
    69.8 KB · Views: 7
Mbna ana buti kuuuuuubwa hiv????

Kwa resume hiyo angeanzisha baishara yake binafsi badala ya kukimbilia ajira nono ya siasa. Huyu atakuwa anaota kuwa waziri ili apate zile 10 percent.

Kajisemea mama Tibaijuka juzi kwenye salama stonetown show kwamba huwezi kuwaambia vijana wajiajiri wakafi wewe umekaa kwenye ajira serikalini na siasa miaka 30 hata mayai hujawahi kuuza hawawezi kukuelewa. Ana mentor na ku coach vijana wakati yeye anavizia u kuu wa mkoa au uwaziri kweli tanzania bado tuna upumbavu mwingi sana ndio maana hafa maji yamewashinda miaka 62 ya uhuru.
 
NAUNGA MKONO hoja yako ndugu mtoa mada. Na kwa kuongezea pamoja na urembo wake, binti huyu hajajihusisha na mambo ya ajabu ya kushusha utu wake, hana scandal za ajabu, lakini ni mama aliyeolewa na anatunza familia yake kwa heshima, akimheshimu mume wake na pia jamii yote iliyomzunguka.

Ni binti mnyenyekevu na mtii mwenye maono ya hali ya juu, msomi, mwenye misimamo thabiti na mwenye utulivu wa akili. Pia ana "exposure"

Umefika wakati Sasa UVccm impate makamu wa chama mwanamke. Mama ni mlezi
 
Victoria apewe Kura za Ndio

lulu mpya Umoja Wa - Vijana

" Always learning and always sharing what I have learned - purpose of acquiring knowledge for it to be beneficial to everyone " Victoria Mwanziva 2017

25 mei 2022 Baraza Kuu la Umoja Wa Vijana ( Uvccm ) Taifa lilipo mthibitisha Cde ' Victoria C . Mwanziva Kuwa Katibu Wa Uhamasishaji na chipukizi Uvccm Taifa nilijisemea moyoni Uvccm wamelamba dume

Ingizo Sahihi na Wakati Sahihi , ninamfahamu Kiongozi huyu , Kwa namna alivyo na Wivu na Mahaba Kwa CCM nikajua ana kwenda kuleta radha Tofauti pale makao Makuu Ya Uvccm , nathubutu Kusema kongole Uvccm Kwa namna mlivyo litendea haki pendekezo la Halmashauri Kuu Ya Chama Chetu Taifa na matunda tumeyaona

Kiongozi Victoria aliingia na spirit Ileile tunayoifahamu toka kwake ya kuunganisha Vijana Nchini na Kusaka Kila fursa inayojitokeza Ndani na Nje ya Nchi Kwa ajili ya Vijana Wa Tanzania ikiwamo Fursa za mafunzo ( scholarships )

Na kwa Mwaka Huu 2022 akisaidia Kundi kubwa la Vijana Kupata mafunzo ya Uongozi katika Usimamizi Wa Umma ( leadership in public management ) , uongozi Katika Biashara ( leadership in business management ) na Uongozi katika Jamii ( leadership in civic engagement ) Yanayotolewa na YALI Mandela Washington fellowship yaliyofayika Minessota Marekani , Chini Ya Usimamizi Wa Department of state of America

Kama ni kuvaa viatu Vya Muhamasa aliye tangulia Mhe. Jokate Urban Mwegelo Ambaye Sasa Ni DC Temeke Ndg Victoria anatosha ametutendea Haki Vijana Wenzie

Lengo la makala Hii si kuzungumzia Sana nafasi yake Hii ya Hamasa Msomi Huyu Wa Shahada ya Uzamili ambaye kwake kujitoa Kwa Jambo la CCM hakuna mjadala Bali ni kumuombea Kura Nyingi Za Ndio Baada ya Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu Ya CCM ( CC ) kupendekeza Jina lake Kwa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa ( NEC ) ambayo pia Imempitisha Kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Wa Uvccm Taifa 2022 - 2027

Akiwa masomoni Nchini China Comrade Victoria hakuacha tabia yake ya kujifunza mambo mbalimbali Nje ya darasa ambayo pia uyaleta Mbele ya Umma ( public platforms ) Kwa manufaa ya Vijana Nchini Bila kujali gharama za nauli kwenda Katika midahalo mbali na Chuo Cha Institute of technology *Beijing China, ukiwamo Ule ulioudhuriwa na Billionea JACK MA Wa Global young leaders youth summit Uliofanyika Jimbo la Hangzhou Zhejiang chin ya Udhamini Wa Alibaba foundation na general association of Zhejiang entrepreneurs

Ni Ndugu Mwanziva aliye saidia ( connections ) Vijana Nchini Kupata Fursa za mafunzo Seoul Nchini Korea , na Fursa Nyingine Nyingi ikiwamo Ile ya Sadc Youth forum : climate change Youth envoy , amekuwa msaada Wa Kulea Vijana Wenzie na kuwapa mwelekeo ( Coaching and mentoring ) Cde Victoria atatufaa

Naomba Kura Kwa Gwiji Huyu Wa Uvccm Mwenye Uwezo Wa kuzungumza lugha Zaidi ya Tano ikiwamo Kichina , Kiingereza na Kiswahili ambaye alipokua Katika masomo ya Shahada yake ya Kwanza Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam alikua Kiongozi wa Vijana Chini Ya - Youth United Nations Association UDSM chapter Akishiriki Tafiti Nyingi Kwa Msaada Wa REDET kujua Nini ni Mahitaji Muhimu Kwa Viongozi Vijana Afrika

Victoria Anatosha Wajumbe Tunawategemea

Mwangoka Deogratius - Mwana CCM Rungwe
Ni mpwa wa JK. Atapita tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom